Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,618
- 27,596
- Thread starter
-
- #121
Kikwapaa hapo sasa nakuambia live tumia deodorant
You wishUnaweza kushangaa MTU anaye lalamika kinyaa,kinyaa ukimwona usoni unaweza kutapika
Bora umenielewa mkuuuNami ni m1wao... Asante kwa ushaur mkuu
Hehehehehehehee ndoto yako sioWanawake wa hivi unaweza dhani wanakunya keki
Alafu usikute ni kabovu, kamejaziana kama boflo, sura mbuzi, chunusi chunusi, miguu yote ya kushoto, vigimbi kama mwanariadha
Nawapenda waelewa kama weweAisee kazi ipo kweli kweli... Haya bi dada nitanyoa. Teh teh teh
Umezitoa hizo za kwapani? Hala Hala asije akakutoa ndukiUnajua kila siku natakaga kuja inbox nkuombe mzigo halaf nasahau
Ww unapenda za wapiUmezitoa hizo za kwapani? Hala Hala asije akakutoa nduki
Zote.Ww unapenda za wapi
Ni puaniUmezitoa hizo za kwapani? Hala Hala asije akakutoa nduki
Kwahiyo una msitu?Zote.
HallooooooooWake zetu wanazipenda sana so inakuwa nguma sana kuzinyoa kumridhisha mtu mwingine or rather mchepuko wakati hiyo ndio furaha ya wife..
Pole pole utaua mtu mamaHalloooooooo
Huu uzi utavumbua vingi. Mnakutana wapi na hao watu? Looohsawa sisi tuna manywele mapuani...
ila kaa ukijua tunawavumilia kwa mengi sana... ni kwa kuwa tumeumbwa na koromelo..
mdada unavaa chupi mpaka pale kati panakuwa pagumu kama jeans tunakausha tuu..hiyo bikini ndio usiseme kiasi kile kikamba kinachokatiza pale kinakuwa kama waya jinsi kinavyosagwa kiroho safi tunakausha......
acha hizo bhana... we angalia wallet yng tuu kama ilivyo ada yenu.....
Hata mm napendaHuwezi kuwaridhisha wanawake... mfano wewe hupendi vinyweleo, yule anapenda...
Mwanaume msafi utampata wapi? Mwanamke ni kila kitu unaposikia harufu mbaya unaichukua unaiweka kwenye maji, ndio maana watu wasifia wa tanga ni sawa bwana anakuja kitandani mambo yanaanza bila kuoga, lakini wao wanapelekwa kuoga, ni wajibu wa mwanamke usafi wa mume si tanga kwa mwanamke naejiheshimu hii si ishu kabisa.Pole pole utaua mtu mama
Pia kujisafisha sana haifai kunaondoa hisiaAloo hapo kwenye wax sikioni inatakiwa uwe makini cos ule wax unakazi kubwa xana, kuutoa toa unawezapata matatizo ya masikio.
Nivyema kumuona Daktari specialist wa masikio akuelekeze namna ya kusafisha,cos unashauliwa kusafisha pinna tuu,kitundu cha kuelekea ndani ya sikio usikiguse