MADIDINGWA
Senior Member
- Jul 26, 2012
- 118
- 15
mambo wana jf, ni kwann mwanaume aliyeoa anavua pete ya ndoa anapokuwa njiani kuelekea kazini? hv ndoa aliyofunga alilazimishwa au alichagua kwa mapendo yake mwenyewe?. Leo nimejionea kwa macho yangu mwenyewe asubuh, nimejiuliza maswali mengi, lakini mpka sasa sijapata jibu, nadhani hapa nitapata majibu mazuri yatakayonifanya nielewe kwann wanafanya hivyo. Mtanisamehe wanaume ambao mtakuwa mmekwishaoa kama nitakuwa nimewakwaza.