MADIDINGWA
Senior Member
- Jul 26, 2012
- 118
- 15
- Thread starter
- #21
naona umeliona hili wamekuwa makunguru
mmh nimeliona mwenzangu, ndo maana nikalileta hapa jukwaani nipate mawazo.
naona umeliona hili wamekuwa makunguru
Naweza nikapiga kazi ya nje huku pete ya ndoa ikiwa inaning'inia kidoleni.
Pete is nothing ila kama umeamua kuivaa ni ujinga kuivua ukiwa mbali na home.
Sasa hapa sioni mantiki ya pete kuvuliwa kwa kuwa amevua wakati huyo mwanamke anamuona. Hivyo huwezi jua sababu hasa ya kuvua hiyo pete; ingekuwa kuficha kama ameoa; hapo kwenye bold wewe mwenyewe unasema amevua wakiwa wanaongea.
Afu hivi mtu anaweza kweli kudanganya kwa kuvua pete? Mbona pete huacha alama vidoleni. Mabinti wanapenda tu waume za watu kwa kuwa wana pesa kuliko vijana, period. Kama kuna wanaodang'anywa marital status basi ni
0.00000001%
Mahusiano mengi na waume wake za watu yanafanyika huku wahusika wana full information za wanaochiti nao.
Mbona unanitisha!mmmh kumbe eee nimekusoma wangu.
Huyo uliemuona ni mmoja tu kati ya wanaume wengi sana waliooa na wenye pete na pia sina uhakika kama umemuuliza kwanini anaivua hiyo pete kabla ya ku-make conclussion kuwa jamaa sio mwaminifu. Kitu kingine ni kwamba jamaa amevua pete tu, hajamvua au kumuacha mkewe maana ndoa au mke si pete bali ni zile commitment za maisha ya mke na mume. Binafsi kuna jamaa yangu wa karibu sana, mkewe kapoteza pete ya ndoa sina uhakika kama aliivua ikapotea au ilikuwa kubwa ikamdondoka, lakini hicho siyo kigezo cha kunifanya niamini kuwa wanawake wengi/wote hupoteza pete ili wapigwe nje.
Mbona unanitisha!
mambo wana jf, ni kwann mwanaume aliyeoa anavua pete ya ndoa anapokuwa njiani kuelekea kazini? hv ndoa aliyofunga alilazimishwa au alichagua kwa mapendo yake mwenyewe?. Leo nimejionea kwa macho yangu mwenyewe asubuh, nimejiuliza maswali mengi, lakini mpka sasa sijapata jibu, nadhani hapa nitapata majibu mazuri yatakayonifanya nielewe kwann wanafanya hivyo. Mtanisamehe wanaume ambao mtakuwa mmekwishaoa kama nitakuwa nimewakwaza.
Kwahiyo kama akiivulia ofisini kwake au chooni, hilo huna tatizo nalo?................... je na mimi nikitaka kujiaminisha kuwa wanawake walioolewa wanapotezaga pete makusudi ili wafanye uzinzi nje nitakuwa sahihi kwa sababu tu wife wa rafiki yangu kapoteza pete yake ya ndoa?. Nadhani pete ibakie kuwa pete na uaminifu katika ndoa ubakie pale pale na kila mmoja atambue nafasi yake kama mume /mke. Pia sina maana ya kukupinga usemacho lakini tunatofautiana kidogo kwenye mtazamo kwamba hiyo sample ya mwanaume mmoja uliyemshuhudia haitoshi ku-generalize kwa wanaume wengi waliooa.sawa, ila ni kwanini pete aivue barabara? kama aliona ni mzigo si bora asingevaa kabisa ikajulikana moja tu, kwamba ameoa lakin havaii pete.
ok, wakati anavua hiyo pete yule demu hakujua kama anavua. mbona unatetea sana au na wewe ni mo1 wapo?
Easy. kumbe nime'overlook tuu!!nimekutisha nini sasa hapo?
....kadiri ninavyoendelea kuishi...kadiri ninayopanua uwezo wangu wa kufikiri...the wedding ring loses it's touch.
marriage is a commitment between two individuals in love...it is totally not about that piece of metal! kuvaliwa kwake au kutovaliwa kwake hakubadilishi chochote...mtu atatunza ndoa kwa utashi wake sio kwa pete yake!!!!!
Mimi nimeshaona wengi wanaleta cheap excuses za ooh sikujua kama kaoa...ooh sikujua kaolewa. Waklati wanaingia kwenye mahusiano na wake/waume wa watu wakiwa na full details. Ndio maana sijuhi nia ya mleta mada hasa ni nini?
Tuone kuwa wenye makosa ni wana ndoa? Au kutuonyesha wanandoa ni cheaters? Au kutaka kusema wa kulaumiwa ni wanaume?
To me cheater na anayecheat nae wote ni mule mule.. Hakuna mwenye lawama less.
............... aliogopa kutekwa, maana mwenye ndoa ana uhakika.:sleepy:mmmh sina hakika kama kweli siku hizi wanakimbiliwa waliooa, sasa niliyemwona leo asubuhi kamtokea demu wakiwa bado wanaoongea mwanaume alivua pete na kuweka mfukoni kisha wakabadilishana namba za simu, sasa kulikuwa na haja gani ya yeye kuvua ile pete? na sio huyo tu niliyemwona leo, kuna kipindi cha nyumba tena nilimwona mo1, ilikuwa ni asbh kituo cha daladala, ghafla nilimwona kavua ile pete na kuweka mfukoni.
Wapi hiyo labda njiani kuna vibaka na alishawai kukabwa na pete zetu tunanunua bei ghali sana