wanaume jaman tuoneeni bas huruma kidogo ......

wanaume jaman tuoneeni bas huruma kidogo ......

sii alijiweka kimgegedo ssa jamaa kagegeda kamtia mimba kaoa na anaendelea kugegeda nje...ndio wajifunze kutogawa papuchi kabla ya kuolewa

Kaka nakupa ushauri kama hujaoa, tena kwa Mapenzi mema..
Never, yaani never, ever usikubali kuoa Mwanamke kabla hujamgegeda...
 
Kaka nakupa ushauri kama hujaoa, tena kwa Mapenzi mema..
Never, yaani neve, ever usikubali kuoa Mwanamke kabla hujamgegeda...

i will never ever gegeda a lady i wana marry!!! nikimgegeda tuu basi sina mpango wakumuoa.
 
Umbea mwingne bhana,hata kukipanga uoneshe umakin kdogo aaaah wap
 
:A S cry::A S cry: Jamn my friend kaolewa hat miezi miwili haijapita ni mjamzito ana mimba ya miezi sita jana mume wake kakamatwa anafanya ngono na na mwanamke mwingn kweny gar gari yenyew ya huyo dada jaman akijua si mimba inaweza kutoka ...alafu et bila aibu ananipigia simu nikamtolee kit gan sijui police atolewe siendi ng,o yaan hay mambo ukiwa ndani ya ndoa huwez jua mwenz wako anafany vituko gani wa pemben ndy wanajua.....:A S cry::A S cry::A S cry:

Nani tena huyo anakamata mwanaume akiwa kazini tena kwenye gari yake?
 
Tuwaonee huruma kuwagegeda au kuwapa mimba?
 
Tatizi mkiwa na mimba mnabana mnooo khaaaa. Ila jamaa na yeye sio mstaarabu kabisa
 
Chimunguru sio kama tunabana...acha tu ujauzito kubeba shuhuli si ndogo laitani mngeambiwa mbebe nyie siku 1 tu kijasho kingewatoka....mwacheni mama aitwe mama
 
Last edited by a moderator:
sii alijiweka kimgegedo ssa jamaa kagegeda kamtia mimba kaoa na anaendelea kugegeda nje...ndio wajifunze kutogawa papuchi kabla ya kuolewa

Mkuu mimi nakukubali sana. Yaani pamoja na kuwagegeda sana but you still keep it real.
 
i will never ever gegeda a lady i wana marry!!! nikimgegeda tuu basi sina mpango wakumuoa.

Looks like we were born on the same day. Hata mimi huwa nasema hivyo hivyo, nikila mzigo tu basi sioi hapo! Hivi ukigegeda ndio unajihakikishia kitu gani?? Watu wanajidanganya sana aisee.
 
Walikamatwa kwa kosa la ku~do ndani ya gari? mbn rahisi unaenda kwny Guest kisha unm~tip Elfu 5 Mlinzi FULL STOP!
 
Back
Top Bottom