wanaume jaman tuoneeni bas huruma kidogo ......

wanaume jaman tuoneeni bas huruma kidogo ......

sii alijiweka kimgegedo ssa jamaa kagegeda kamtia mimba kaoa na anaendelea kugegeda nje...ndio wajifunze kutogawa papuchi kabla ya kuolewa

Mxeeeew!y do u always put t syd ya mwanamke,kwan nyie miungu?na nyie msiombe papuchi kabla ya ndoa....uzinzi ni dhamb kwa wote!
 
Ndoa miezi 2...

Mimba miezi 6...what a miracle!!!!!

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Hata mimi hapo nimeshangaa kwakweli kumbe siku hizi inawezekana kabisa ndoa ikwa na miez miwili lakin mke akawa na mimba ya miez sita ee
 
Mxeeeew!y do u always put t syd ya mwanamke,kwan nyie miungu?na nyie msiombe papuchi kabla ya ndoa....uzinzi ni dhamb kwa wote!

alafu wewe utakuwa mluguru hahaha.....nah bliv me sio kwamba nipo one sided kweli pande zote mbili ila sasa nyie ndio wenye final say either unatoa utamu au lah. upo matombo sehemu gani?
 
:A S cry::A S cry: Jamn my friend kaolewa hat miezi miwili haijapita ni mjamzito ana mimba ya miezi sita jana mume wake kakamatwa anafanya ngono na na mwanamke mwingn kweny gar gari yenyew ya huyo dada jaman akijua si mimba inaweza kutoka ...alafu et bila aibu ananipigia simu nikamtolee kit gan sijui police atolewe siendi ng,o yaan hay mambo ukiwa ndani ya ndoa huwez jua mwenz wako anafany vituko gani wa pemben ndy wanajua.....:A S cry::A S cry::A S cry:

Ngoja awekwe ndani mume wako ndo utajuwa wanawake wanatokaje mbio kwenda kuwatoa waume zao polisi bila hata kujuwa wamefanya nini
 
Back
Top Bottom