Wanaume ingieni huku Mara moja

Ayeeee mama weee ungekuwa wee ungefanyajee ayee mama wee ungekuwa wee ungefanyeee
 
Monica unatamani kuwa mwanaume.
Wala sitamani. Najivunia jinsia yangu, kwa taarifa yako sijawahi kujutia wala kutamani kuwa mwanaume, wanaume walikuwepo zamani bhana,wengi wa waliopo sasa tofauti na wanawake ni maumbile tu..lkn mengne hawana ujasiri kbsa. Kutunza familia na Mimi pia naweza
 
Em edit hapo juu mlipojimiminia sifa weka na hii ‘kutusababishia stress zinazotusababishia kifo na kufail maisha',unaandika mazuri tu weka na mabaya tujifunze wote.
 
Hawa wanapenda kulalamika tu, anyways hiyo stori ya Leah siijui sijui imekaaje
 
Em edit hapo juu mlipojimiminia sifa weka na hii ‘kutusababishia stress zinazotusababishia kifo na kufail maisha',unaandika mazuri tu weka na mabaya tujifunze wote.
Hongera angalau nawewe Leo umesema neno
 
Ni kweli ni wakati wa mwanamke kuamka na kuishi maisha bora kuliko zamani lkn si kwa style inavyokwenda.
Asikudanganye mtu mfumo dume sio dhambi na.uko dunia nzima mabara yote. Kinachopingwa ni matumizi mabaya ya mfumo dume. Lazima wasomi wetu waelewe hilo. Plz dont confuse the two.
Siku moja nilisikiliza stori ya Angela mark wa ujerumani nikashangaa sana nilihisi labda ni stori za redioni tu, yeye binafsi anafurahia maisha yake na familia yake na usomi wake wote na umaarufu alionao duniani.

Siku nyingine nilimsikia Asharose migiro akiongea kwa kinywa chache maisha yake halisi nje ya taaluma na profdesions zake, ni mama wa.kuigwa na anaenjoy maisha yake na hazeeki.
Kipindi nikiwa chuo nimeshuhudia dada mmoja akiwa mja mzito akiwa mwaka wa kwanza postgraduate na akiwa third yr tena nikamwona ana mmba nyingine, na hivi karibuni nime.wona akiwa kapendeza kweli na anapiga kazi nzuri. Kupanga ni vizuri lkn lazima kupanga mambo yenye tija na kuimarisha ustawi wenu.

 
Usiseme mfumo dume sema mfumo mbaya wa mfumo dume.
Hapa utapambana na ukuta.na utajiumiza mwenyewe.
Mwanamke namthamini sana lkn akishakuwa ni mtu mlalamikaji sana dhidi ya wanaume mmmh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…