Kwa uzoefu wangu naona kwamba hali hii inachangiwa hasa na wanawake wenyewe kwa njia ya kujijengea ukuta dhidi ya mume. wanafanya hivyo kwa kutokuwa na ushirikiano mzuri katika tendo la ndoa; mara atakwambia amechoka au hata kusema hasemi anakuangalia tu unavyohangaika kupata unyumba. mwishowe unafika mahali unaona bora ukjipumzishe pale penye huba. vinginevyo mtakuwa mnalalamikiana hadi urushe ngumi kitu ambacho hakifai.
sababu zingine ni kukosa kujua kwamba wewe ni mumewe hivyo mnapaswa wote mpeane unyumba kwa bidii na ufundi na nafasi ya kutosha! kama unafurahia onyesha kuwa unafurahia vinginevyo mume ataona kama yuko peke yake maana hutikisiki, hugeuki, huungi mkono jitihada za mwenzio. inakatisha tamaa.
wanawake wengi sana wanaoathiriwa na hili ni wale wanaofanya kazi na kiasi fulani wana kipato kizuri ambacho kinawapa kiburi kisicho na mpango hadi ndoa zao zinakuwa jina tu. Yaani zilishakufa siku nyingi!