Wanaume huu ujasiri mnautoa wapi?

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
58,636
Reaction score
220,438
Ujasiri wa kuwaacha mke na watoto wako wanakula ugali bamia au ugali mchicha ilhali wewe unamtoa mchepuko dinner 5* hotel.

Ujasiri wa kukopa hela kwa mkeo umpe mchepuko.

Ukasiri wa kunywa bia wakati uniforms za mwanao zimechanika au nyumbani hakuna mboga
 
Huu ujasir ni kwa walev wasio na hofu ya Mungu.
Unaachaje familia aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Sometimes kisaikolojia labda anahisi pesa alonayo ni ndogo na mahitaji ni makubwa ko instead anaona bora aitawanye tu
Ila anywas ni upumbavu
 
Naona wewe hulijui libwata la Kitanga au vile viuno na shanga za Wamatengo jinsi wanavyoukatikia mkuyenge. All in all wanawake mmezidi sana kutafuta 50/50 mwanaume unakaa naye ndani kama house boy! Kejeli, matusi, gubu nk unategemea nini? Mkikaa Sebuleni wewe na KiTechno chako hata akikuuliza hujibu zaidi ya kucheka na simu yako tu. Mimi nasema ngoja mnyooosshwe akili ziwakae sawa maaana wengi wenu mmeshindwa majukumu ya kulea familia.
 
Ni kweli wa dizaini hiyo wapo, tena wengi tu. Sisi tunatekeleza usemi wa kizungu "Charity begins at home", nyumbani kwanza. Kama mchepuko haelewi kauli mbiu hii, basi fyekelea mbali.
 
uyo ni shetani anakua anafanya yak hmna ca ujasiri hapo sabab kama ibilisi kaitawala akili yako kila kitu kitakua vice-versa! Mungu atunusuru

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sky:
Kwann tu ucwe muwaz kama ni mumeo ili tukupe ushauri wa nn cha kufanya nway talking abt wanaume inabid sana uwe specific maana cc wengne familia ndo mostly cared for...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…