ndakushima
JF-Expert Member
- Jul 27, 2015
- 220
- 125
ila kuna mianaume ambayo ikifika tu ndani inatafuta la kuongea sasa hawa ni wanawake au
Kweli kabisa tenaaa usije ukaomba ukaolewa au kuoa mwanamke mwenye gubu utajutaaa sana saana kwa mwanaume hata haipendezi