Mtoa mada nakushauri uangalie vipindi vya JEREMY KYLE SHOW, MAURY SHOW na TRISHA SHOW ingia youtube na andika hayo majina utaona maajabu ya dunia ndio utajua ulichokiandika ni ujinga...wanawake siku hizi sio wakuwaamini kabisa aisee...kuna case mwanamke anaenda kupima DNA mpaka na wanaume 7 na wote inaonekana sio baba halisi wa mtoto...sasa hapo unajiuliza inamaana alitembea na wanaume wangapi..angalia hivyo vipindi uone maajabu na uchafu wa wanawake walio kwenye ndoa na walio nje ya ndoa...SIO RAHISI MWANAUME KUKUBALI TU MIMBA AU MTOTO KTK KARNE HII BILA KUHAKIKI.
Kipindi cha maury kilinifanya niangalie mambo mengi kwa jicho la tofauti.
kuna dada alipata mapacha na kila mmoja ana babae lol(YOU ARE NOT THE FATHER)
Jukumu la kujikinga kubeba mimba ni la wote kama HIV
Ila kuna exceptions
kuna wanaume anajua kabisa mimba ni yake na anakana ili tu atoke kwenye majukumu
kuna kinga kupasuka
kuna wengine hadi watoto wa ndoa wanakana(ati mtoto mweupe,mweusi,hafanani nae etc)
kuna wanaohesabu na wanapata mimba
kuna wababa wengi wanatelekeza watoto matatizo yaitokea hasa ya kiafya
kuna mwingine walpanga kabisa na alivyopata tu mkaka akamwambia hiyo zawadi yako
nimeona mtu akipelekwa kwa lazima huku analia kutoa mimba kisa kinga ilipasuka na mkaka bado hajajipanga(xcuse ya wengi)
kwangu hii thread iwaendee wakaka na wababa ambao wanajua fika mimba au watoto ni wao na bado waeamua kukataa majukumu yao.tubuni
Na wadada,lets lov ourselves zaid,kama unaeza uabstain do it,kama ni kujikinga basi fanya hivyo..na tjaribu kuwakwenye mahusiano na watu ambao at least we can call responsible.