Wanaume inabidi muelewe tu kwamba kwa mnachokipanda kina mavuno,na mabinti tubadilike swala la kubeba au kutobeba mimba ni jukumu lako,na kama mwayaoogopa yote hayo ni bora kuacha uzinzi.
Kama humuamini kwanini utembee nae?????
Sio kila mwanaume ana akili za kiuanaume, wengine bado wana akili za kivulana. Kila mtu ana siri yake moyoni, usimsemee mwingine.
Wewe ni Diamond?Kwi kwi kwi!!Just kidding!
Hapo ndo huwa nawaona yao wasivyo na akili... Hivi mtu unaweza kuwa na mashaka juu ya uaminifu wake na bado unatembea nae peku????
heeer khantwe alikuwepo au ilikuwa three some?
Hii inawahusu wavulana, wanaume hatuhusiki hapa.
Mi ndo maza hausi
Kwanini usiende kuchukua changudoa huko ukamaliza genye zako?????
Muwe na huruma aiseeeh
siwez kumkataa mwanamke aliye na damu yangu...
Ilitokea nikampa ujauzito hapakuwa na mjadala tena huyo huyo ndio mama mtoto....
Sidhani kama kuna watu huwa wanapenda kubeba mimba kabla ya ndoa (siwazungumzii wale wanaohitaji watoto tu ila kuolewa hawataki). Inapokuwa imetokea si vizuri kutwishana mizigo na kusukumiana makosa....wanaume huwa mnakimbilia kusema kwa nini mdada kakubali kubeba mimba,hayuko makini. Well mimi naweza kuwa makini na siku zangu lakini jamani semeni ukweli huwa mnaelewa??? When it comes to sex wanaume ninyi akili huwa zinahama ila akili zikisharudi mnajifanya kuwapondea watoto wa watu.
Labda Mimi sielewi mwanaume ni yupi na mvulana ni yupi???? Nataka kujua utofauti wao Mkuu.
kweli kabisa mkuu...
Vp ile ya samira ilikuwa kweli au utani?
wachache wanaojielewa kama wewe
kweli kabisa mkuu...
Vp ile ya samira ilikuwa kweli au utani?
Mungu akubariki sana Dada yangu..sana yaani tena sana.
Heri ya mwaka mpya.
Na nyie mumezidi mno kuwababaikia masharo, wacha wawatende na mkome