shukrani angelitaleo nije kwakina kaka. Kwakweli sikufahamu kuwa hadi miaka ya dot.com bado watu wanakataa ujauzito na watoto, really????
Wakati unafanya hilo tendo na huyo dada hukujua kuwa matokeo yanaweza kuwa nini??? Wako wapi vijana wanaojua thamani ya msichana na kumsubiri hadi siku ya harusi???? Wako wapi vijana wanaosimamia na kuamini wanayoyasema???
Vijana wa siku hizi wamejaa mashairi mazuri mno ya mapenzi, yaani maneno yao yanawamaliza kabisa wadada hata wakilokole wanajikuta wametoa yote. Inapotokea mimba basi huruka mita mia, kama sio yeye kabisa, mashairi ya kubembeleza yanageuka mikuki ya kuchoma moyo.
Umeshamkosea mungu, dada amepata mimba nijukumu lako kuutambua ujauzito huo na kuulea pamoja na mtoto. Wengine wanawashauri wasichana watoe mimba, na wasichana kwakutokujua lakufanya wanakubali. Nijambo la aibu sana kukataa mimba na mtoto wako, na akishafika miaka 5 unajitutumua mahakamani kumdai mtoto, mbaya sana.
Wewe kijana unayesoma hapa, mungu anajua ni watoto wangapi umewakataa. Tubu sasa mbele za mungu na haraka uende ukaombe radhi kwa mama watoto wako na ukubali majukumu yako.
Mmmmh....
shukrani angelita
kuna baadhi ya maisha mtu anafikia huko sio tu kaamua hii sisemi kwa ubaya
1.tabia
kuna mtu una,pemda anabadilika gaflq then anakuja anamimbayako
2;maono
kuna mtu anaonyeshwa kiroho hii sio mimbayako ,m nilishagomq hilo na alipozaliwa niliwema kwa wazazi ntalipa bill zote tukapime dna ndugu walikubaki bint aligoma mpaka leo
ntarudi ngoka aka ngoja nimalizie lunch
Hahahaaaaa.... Heri ya mwaka mpya mpendwa..
sijui ubaya au uzuri sina mtoto wala sijawahi kukataa mimba wala kushawishi kutoa mimba na sitafanya hiyo kitu
hilo si kosa la vijana wa kiume tu bali wote na wa kike. Kama wa kike ukiwa na msimamo thabiti kwa nini usikatae kubeba mimba bila plani. Kama ikitokea si vema kuikataa au kukataa mtoto lakini ni vema wapendanao wote busara ikawaongoza kuepuka kupata mimba za namna hii nje ya ndoa
Mmmmh....
Dah umejitetea mpaka raha maombiyqngu usikutane nalo chili mtitiwake lohsijui ubaya au uzuri sina mtoto wala sijawahi kukataa mimba wala kushawishi kutoa mimba na sitafanya hiyo kitu
Mpwa mie wa kwangu nimeshamchukua na sijawahi kumkataa! Watoto hawa wanakuaga na sifa moja mbaya, kufanana sana sana na baba zao na wanazidi kufanana pale inapoonekana dalili ya wewe kumkataa. Mungu anakuumbua kabisaaaa