Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 55,942
- 105,395
Nilishtuka kidogo.Nilidhani katoa tigo.😂😂😂😂Habari waungwana
Huvi kweli unaakili timamu mpaka unatoa figo eti kwa ajili ya kumnunulia mwanamke iphone 14
Ina maana unajikosea adabu kiasi hicho?
Ina maana una mkufuru mungu kiasi hicho?
Ina maana unatumia mwili wako kama kitega uchumi, si UPUMBAVU PRO MAX, sasa si unaweza pia kutumia makalio yako nayo kama kitega uchumi!!. Mbaya zaidi TENA KWA AJILI YA MWANAMKE KWELI!!
Sasa kama akikuacha itakuwaje!!??
Si ndo mwanzo wa kujiua huo!??
Duuh!!! Kweli kazi!View attachment 2386804