Wanaume, hii kitu ni hatari sana, itakugharimu

Wanaume, hii kitu ni hatari sana, itakugharimu

Mbaya sana asee wanaume tuwe makini kwa hili mtoa mada ameyaona kama sio kuyaona
 
nimtambulishe mke wangu au mchepuko wangu ili iweje....!!!
kama anataka kujulikana atangaze taarifa habari kila akitokea anataja jina lake!!!
 
Kuna huu mtindo wa wanaume, kama ana mke au mpenzi mrembo halafu akatoka naye kwenye mitoko labda ya harusi, basi atahakikisha anamtambulisha kila mtu anayemfahamu, lengo lao ni kusifika ana mke au mpenzi mzuri basi aonekane na watu wote.

Nawaambieni huu mchezo ni hatari kubwa, kitendo hicho kinawapa wanaume unaowatambulisha upenyo wa wao kuingia, si keshatambulishwa bhana, utashangaa hata haupo nyumbani jamaa anakuja tu, si keshatambulishwa. Hebu mjiulize swali hili, mwanaume gani asiyependa kutembea na mwanamke mkali kama fursa ipo?
Huko nyuma tumeambiwa hii ni dalili ya kutojiamini
CC masaidada
 
Mbaya sana asee wanaume tuwe makini kwa hili mtoa mada ameyaona kama sio kuyaona

mkuu watu wabishi sana, si umeona wanavyopinga, ila huu ni ukweli, kuna hatari kubwa sana kumexpose mwanamke wako hasa akiwa mkali. Kumtambulisha si kosa ila isiwe kama ujiko sasa, kila mtu tu, hata unajipeleka mwenyewe mradi uonekane una demu mkali.
 
Labda ni kwenu tu watu wanakuja bila notice. Kwangu hadi nipate taarifa wiki moja kwabla nikuweke kwenye ratiba.

kwa majibu haya umedhihirisha umenielewa vyema, waeleweshe na wenzako sasa.
 
Mimi nimeelewa hii maada kiundani zaidi, huyu jamaa anachomaanisha tuache tabia ya kulingishia wanawake zetu kwa washkaji. Kutambulisha sio tatizo ili sio kwa misifa, tena utakuta wanaume wengine ameshajua mpenzi wake ana sura nzuri, tumbo flat, tigo imefutuka, mguu wa bia, basi hapo atampigisha pamba za kumuachia na kumchoresha maungo yake. Kudadeki walai lazima wanaume wenzio wakufanyie mbaya. Hakuna mwanaume asiyependa au kumtamani demu mkali hata kama wa rafiki yake labda kama una tezi dume. Kwa wale wenzangu na mimi waliogonga mademu lazima wamepitia kila aina ya mwanamke, akiwa na demu wa kawaida hawezi kumtambulisha kwa wenzio anaona aibu, akibahatisha demu mkali kihelehele kumtambulisha kwa wenzio, jiulize kwanini inakuwa hivyo ?

nashukuru sana kwa kunielewa vyema.
 
Mtoa mada atakuwa amemaanisha kuringishia. Swala la kutambulisha halizuiliki hata mkifikia uzee utamtambulisha tu lakini kuringisha/showoff ni ya muda mfupi. Makunyanzi yakianza usoni basi. Kusema kweli kuringishia au kwenda sana na mke 'mrembo' sehemu kama bar na ku showoff kuna hatari yake. Kuna watu wanapiga ishara/signal mwanzo mwisho. Tena kuna wengine unaona haangalii kumbe anacheza na taswira za vioo. Kama mke si muaminifu unakuta ameenda chooni anatumwa shangingi kuchukua namba hukohuko kifuatacho...

safi sana, sijui kwa nini watu wazito kuelewa, eti ndo GT.
 
Tuache Hako Katabia Co Kazuri.Kwa Upande Mwingine Akina Dada Mliobahatika Kujaliwa Umbo Zuri,sura Nzuri Msi2mie Fursa Hiyo Kuwasaliti Wenzi Wenu Hata Kama Mmetambulishwa.
 
Inabidi wake zetu wavae nguo zinazofunika mwili wote kasoro macho.Hapo ndipo "intro" inapata nafasi.
 
Kuna huu mtindo wa wanaume, kama ana mke au mpenzi mrembo halafu akatoka naye kwenye mitoko labda ya harusi, basi atahakikisha anamtambulisha kila mtu anayemfahamu, lengo lao ni kusifika ana mke au mpenzi mzuri basi aonekane na watu wote.

Nawaambieni huu mchezo ni hatari kubwa, kitendo hicho kinawapa wanaume unaowatambulisha upenyo wa wao kuingia, si keshatambulishwa bhana, utashangaa hata haupo nyumbani jamaa anakuja tu, si keshatambulishwa. Hebu mjiulize swali hili, mwanaume gani asiyependa kutembea na mwanamke mkali kama fursa ipo?

Mbona kuna wake za watu kibao hawajawahi kutambulishwa na bado wanaliwa?
 
​Kazi kweli kweli!!!'
 
Mwanamke (hata mwanaume pia) asiyejua kusema 'hapana' hafai kuwa mwenza.
 
Back
Top Bottom