miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,802
- 49,109
Ukitambulishwa unajisikiaje?
najisikia vizuri sana
Ukitambulishwa unajisikiaje?
Wewe huwa "unaliwa"? hahahah hizi lugha bwana.mmh huu mchezo ni mzuri aisee.. mimi usiponitambulisha ni mama watoto wako sikuelewi nivita tukifika home,... ii hoja ni nyepesi.. mwanamke akiamua kuliwa analiwa hata usipomtambulisha
ndiyo naliwa ... nani anakijiko jiulize?Wewe huwa "unaliwa"? hahahah hizi lugha bwana.
Unajihi mke wa mfalmeee??najisikia vizuri sana
ndiyo naliwa ... nani anakijiko jiulize?
Njoo nikutafune basi nina njaa sana.ndiyo naliwa ... nani anakijiko jiulize?
Njoo nikutafune basi nina njaa sana.
Mimi nina kijiko miss chaga!!
Kuna huu mtindo wa wanaume, kama ana mke au mpenzi mrembo halafu akatoka naye kwenye mitoko labda ya harusi, basi atahakikisha anamtambulisha kila mtu anayemfahamu, lengo lao ni kusifika ana mke au mpenzi mzuri basi aonekane na watu wote.
Nawaambieni huu mchezo ni hatari kubwa, kitendo hicho kinawapa wanaume unaowatambulisha upenyo wa wao kuingia, si keshatambulishwa bhana, utashangaa hata haupo nyumbani jamaa anakuja tu, si keshatambulishwa. Hebu mjiulize swali hili, mwanaume gani asiyependa kutembea na mwanamke mkali kama fursa ipo?
Mimi huwa nakula nyama mbichi, kuja pande hii miss chagga.ha ha ha ha ha ha yani wewe mie sijaiva utaumwa tumbo