Mahali ninapofanya kazi huwa kuna wasichana na wanawake wengi tu. Naweza nikamuona msichana wa kitengo kingine kwa mbali, namuona ni mrembo tu, na anavutia kwelikweli. And i am thinking....''i wish i could have a chance and sleep with her''(sorry girls, am not promiscuous, that is our nature). Then, inatokea siku kaja ofisini kwangu au nimeenda ofisini kwake kuna issue. Napata nafasi ya kumsogelea na tukaongea tukiwa karibukaribu. Aisee!!! hamu yote huniishia. Namuona ni mbaya, hata nikipewa bure sitaki.
Sasa najiuliza, hii hali ninayo peke yanguuu... au wenzangu pia huwa mna-experience hicho kitu? Sometimes nafikiri...au shemeji yenu kanitengeneza. Coz kwa mbali nawaona ni warembo haswaaa. Hebu nielezeni wenzangu.