Wanaume hii bajeti inapita?

Wanaume hii bajeti inapita?

Mtushirikishage na sisi namna mnavyopata pesa nyingi za kula bata sio kutushirikisha kwenye matumizi tu.

Mkuu nimehustle sana wewe pitia thread zangu za nyuma. Acha nile bata sahv[emoji28]
 
200k ni ndogo sana demu classic huwezi mpandisha bus, ni ndege tena ticket ya go and return. Na sio umpeleke lodge ni 5 star hotel. Binafsi huwa nahonga mwanamke mpaka nyumba akinibamba kinoma noma!

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji119][emoji119][emoji119]
 
[emoji1][emoji1][emoji1] Wanangu bora tuoe tu , 220k weekend moja ijayo hivyo hivyo ! Chukua mtoto weka ndani mpange maisha [emoji1]

Mzee sikumoja moja unatoka out unaenjoy life is too short
 
Sahivi kama unakutana na demu lazma ujipange kifedha lasivyo utakua mnyonge sana. Ipo hivi unakutana na pisi yako kesho weeknd

Usafiri weka 30k
Dinna weka 40k
Mtaenda kiwanja kikali bajet ya drinks kadiria atakunywa savanna 6 wewe heineken 6 kadiria kama 70k baada ya hapo utahitaji hotel kali au lodge ni 50k ndo uhakika utaenjoy na mgegedo utakua mzuri. Asubuhi utampa cash minimum 30k.

JUMLA 220,000/= hii bajeti imekaaje masela hauvimbi weeknd ???
Ndo kwanza january hata hatujaigawa katikati😆😆
 
Sahivi kama unakutana na demu lazma ujipange kifedha lasivyo utakua mnyonge sana. Ipo hivi unakutana na pisi yako kesho weeknd

Usafiri weka 30k
Dinna weka 40k
Mtaenda kiwanja kikali bajet ya drinks kadiria atakunywa savanna 6 wewe heineken 6 kadiria kama 70k baada ya hapo utahitaji hotel kali au lodge ni 50k ndo uhakika utaenjoy na mgegedo utakua mzuri. Asubuhi utampa cash minimum 30k.

JUMLA 220,000/= hii bajeti imekaaje masela hauvimbi weeknd ???
Wee jamaa bn huo mshaharawa mwez na nusu. Bajet huwa haizid 30k kam ukijipig sanaa 50k kwa mbindee😆😆😪
 
Back
Top Bottom