lunatoc
JF-Expert Member
- Aug 16, 2017
- 2,908
- 5,507
HahahahaHuo ndio ujinga sitakagi, unakuja kupelekewa moto huna hata nauli labda kiwe kitoto cha chuo. Kwangu ukija na Uber jiandae kurudi na UDA
HahahahaHuo ndio ujinga sitakagi, unakuja kupelekewa moto huna hata nauli labda kiwe kitoto cha chuo. Kwangu ukija na Uber jiandae kurudi na UDA
Mimi mwisho wangu kuhonga mwisho lateni. Hapa uswazi mademu wanywa kangara mbunye unapata hata kwa buku, sasa ya nini nitoe elfu kumi wakati kwa buku napata!!Watu kumbe mna mahela [emoji3][emoji3]
Mimi na ubahili wangu hata 50k huwa inaniuma.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3][emoji3]Mimi mwisho wangu kuhonga mwisho lateni. Hapa uswazi mademu wanywa kangara mbunye unapata hata kwa buku, sasa ya nini nitoe elfu kumi wakati kwa buku napata!!
Mitandao hii ndugu yangu [emoji3][emoji3]Nikisoma replies za wana naona kabisa mimi ndo sina ela[emoji23][emoji23]
Unaishsngaa iyo akat kuna mshikaj alkua na dem ake wilaya jirar msimu wa ckuu anamhitaj kwa ajili ya mkesha akahtaji naul tsh 150 elf na akamtumia kiroho xf ingawa mimi nliumia km yangu vleUsafiri wa 30K kwani anatokea mkoa mwingine?
Huo ndio ujinga sitakagi, unakuja kupelekewa moto huna hata nauli labda kiwe kitoto cha chuo. Kwangu ukija na Uber jiandae kurudi na UDA
Kwa hio bajeti unambato K 10 tofauti pape rivasaidi za buku 5 tano jumla 50k
Halafu tano unakula mchemsho wa kuku pembeni pale
Jumla 55k
Halafu 15k unakula kilamanjaro 15 za buku jero maisha yanataka nini zaidi [emoji2]
Jumla 70k
Unabakiwa na 150k unaenda nunua bati 13 taratibu unaanza ujenzi mdogo mdogo
[emoji23][emoji23][emoji23]mpeleke tu geto, Uber elf 10 halafu 210,000 umpe yote.
Mimi mwisho wangu kuhonga mwisho lateni. Hapa uswazi mademu wanywa kangara mbunye unapata hata kwa buku, sasa ya nini nitoe elfu kumi wakati kwa buku napata!!
Na ndonga mzee, japokua maisha magumu ila uhai mtamu.Buku si unazoa na magonjwa humo
Wee hapo gharama vinywaji nyama choma na uberUkiwa na geto garama zinapungua saaana
umemaliza mchezo mzimampeleke tu geto, Uber elf 10 halafu 210,000 umpe yote.
Dah mm huwa bajeti haivuki elf60 piga ua kama hawezi aniache na umaskini wangu, occasionally huwa nagonga laki 1Sahivi kama unakutana na demu lazma ujipange kifedha lasivyo utakua mnyonge sana. Ipo hivi unakutana na pisi yako kesho weeknd
Usafiri weka 30k
Dinna weka 40k
Mtaenda kiwanja kikali bajet ya drinks kadiria atakunywa savanna 6 wewe heineken 6 kadiria kama 70k baada ya hapo utahitaji hotel kali au lodge ni 50k ndo uhakika utaenjoy na mgegedo utakua mzuri. Asubuhi utampa cash minimum 30k.
JUMLA 220,000/= hii bajeti imekaaje masela hauvimbi weeknd ???