Wanaume hii bajeti inapita?

Wanaume hii bajeti inapita?

NATANGAZA KUPOTEA JF KWA MASAA KAZAA MPAKA KESHO SAA 4 asbh.

Acha nianze weekend, bajeti ya weeknd ipo tayari
IMG_0427.jpg
 
Sahivi kama unakutana na demu lazma ujipange kifedha lasivyo utakua mnyonge sana. Ipo hivi unakutana na pisi yako kesho weeknd

Usafiri weka 30k
Dinna weka 40k
Mtaenda kiwanja kikali bajet ya drinks kadiria atakunywa savanna 6 wewe heineken 6 kadiria kama 70k baada ya hapo utahitaji hotel kali au lodge ni 50k ndo uhakika utaenjoy na mgegedo utakua mzuri. Asubuhi utampa cash minimum 30k.

JUMLA 220,000/= hii bajeti imekaaje masela hauvimbi weeknd ???
Mbona kubwa sana acheni mambo ya kizungu nyie pesa ngumu sana yaani usafiri 30k anatoka dodoma lodge bei kali sana ni 20k ukiwa na 50k unakaza na chenji inabaki nyingi tu mkuu wewe ni tajiri sana
 
Sahivi kama unakutana na demu lazma ujipange kifedha lasivyo utakua mnyonge sana. Ipo hivi unakutana na pisi yako kesho weeknd

Usafiri weka 30k
Dinna weka 40k
Mtaenda kiwanja kikali bajet ya drinks kadiria atakunywa savanna 6 wewe heineken 6 kadiria kama 70k baada ya hapo utahitaji hotel kali au lodge ni 50k ndo uhakika utaenjoy na mgegedo utakua mzuri. Asubuhi utampa cash minimum 30k.

JUMLA 220,000/= hii bajeti imekaaje masela hauvimbi weeknd ???
Hii iko Kwa wenye pesa zinazowawasha wazitumie. Usingekuwa nazo mwanamke ungempata bila manjonjo yote ha.yo. Ni aina fulani ya ulimbukeni.
 
Sahivi kama unakutana na demu lazma ujipange kifedha lasivyo utakua mnyonge sana. Ipo hivi unakutana na pisi yako kesho weeknd

Usafiri weka 30k
Dinna weka 40k
Mtaenda kiwanja kikali bajet ya drinks kadiria atakunywa savanna 6 wewe heineken 6 kadiria kama 70k baada ya hapo utahitaji hotel kali au lodge ni 50k ndo uhakika utaenjoy na mgegedo utakua mzuri. Asubuhi utampa cash minimum 30k.

JUMLA 220,000/= hii bajeti imekaaje masela hauvimbi weeknd ???
Siwezi kuchuma zambi kwa gharama zote hizi.

Kwa jinsi nilivyo na nyege Kama kila tendo itanitoka 220,000tsh aisee kwa mwezi si chini ya milioni mbili nitaziteketeza kisa mbunye hell no .... Ambayo kwa mwaka Karibia milioni 20 kisa mbunye mzee Kama unaweza kugharamia mbunye kiasi hicho ...ukiachana na mbunye ukikaza kidogo unakua tz bilioner.

Fanya hivi tafuta panga mbali na nyumbani kwako gharama za chumba uwezo wako ila pembezoni mwa miji ni chini around 30k na kuendelea ....so Kama room ni 30 lipa miezi sita nunua kitanda Cha kawaida tu na meza nzuri kwaa ajiri ya kumkunjia mtoto wa watu na kisabufa Cha kawaida tu. Na kifeni na ndoo za usafi .

Baada ya hapo ukikutana na mtoto unampeleka pub Kama ananjaa unamlisha vitimoto kwa siku ya kwanza au chips funga na maji au soda akitaka mabia akanywe kwa baba yake unamuandalia na pesa ya sabuni basi. Mengine atajipanga mpeleke machinjio mnyandue asepe ....funga geto lako Rudi nyumbani.

Mwanaume acheni kugharamia anasa zinafilisi
 
200k ni ndogo sana demu classic huwezi mpandisha bus, ni ndege tena ticket ya go and return. Na sio umpeleke lodge ni 5 star hotel. Binafsi huwa nahonga mwanamke mpaka nyumba akinibamba kinoma noma!
Hivi mnavyo zungumzia demu classic mnaangalia nini.....? Maana Kuna pisi sa ajabu tunazipindua kwa pesa nyasi sana.nyie wenzetu mnafanya Nini Hadi mnapigwa pesa nyingi hivyo
 
Back
Top Bottom