INSIDER MAN
JF-Expert Member
- Nov 7, 2018
- 2,057
- 20,918
- Thread starter
- #41
Usafiri wa 30K kwani anatokea mkoa mwingine?
Uber hio, movement za hapa na pale. Nikiwa natoka huwa sitembei na gari
Usafiri wa 30K kwani anatokea mkoa mwingine?
hii bajeti haijakaa
poa yani misavanah mi Heineken inapewa fungu kuubwa halafu baada ya kupewa uno la kicongo ahsante ni elf 30.... hapana aseee

Ujambazimpeleke tu geto, Uber elf 10 halafu 210,000 umpe yote.
Hii iko mwake kabisa. Yaani hapo lazima mrembo atakuwa analeta mbususu mwenyewe cha msingi nyie ni kuenjoy tuuu utamu wa asali
Kwa hio bajeti unambato K 10 tofauti pape rivasaidi za buku 5 tano jumla 50k
Halafu tano unakula mchemsho wa kuku pembeni pale
Jumla 55k
Halafu 15k unakula kilamanjaro 15 za buku jero maisha yanataka nini zaidi
Jumla 70k
Unabakiwa na 150k unaenda nunua bati 13 taratibu unaanza ujenzi mdogo mdogo
Matapeli wa kike mmekutana😅Na majina yote mazuri mazuri ataitwa, na zile "pole zetu" zote atapewa... yani atajiona king sku hiyo.. hakuna kama yeye
😂😂😂😂😂😂😂
Hapo umenena Mkuu.Mwajuma ndala ndefu hawezi kuwa na bajeti sawa na Queen au siyo?.Binafs bajeti huwa inategemea na Aina ya mwanamke mwenyewe nnayeenda kukutana nae
Mbususu zipo Tu tena zabei yakawaida natamu balaa,Mda mwingine wanawake tunawalazimisha wenyewe Kutufanyisha biashara yamapenzi,kwakuwahudumia Sana tofauti namatarajio Yao,unakuta demu Kaja kwako hajatarajia kutoka nahela ww unampatia200k,lazima ataaanza kukupigia mitoko kikubwa nabudget heavyKwa hio bajeti unambato K 10 tofauti pape rivasaidi za buku 5 tano jumla 50k
Halafu tano unakula mchemsho wa kuku pembeni pale
Jumla 55k
Halafu 15k unakula kilamanjaro 15 za buku jero maisha yanataka nini zaidi
Jumla 70k
Unabakiwa na 150k unaenda nunua bati 13 taratibu unaanza ujenzi mdogo mdogo
True brother,dahh,watu mapenzi wameyageuza butter trade,akupe mbususu umpatie pesa,kitu ambacho sio sahihi Sana,pesa itumike only in needs mfano kama demu wako kapatwa namatatizo au kafiwa au anauguliwa,namengine yanayofanaan nahayoNdo mana watu wanageuzwa sponsor aisee!, huku kina uledi wanapewa bure mtaani au kwa kachori za buku tu.
Pesa nyingi sana kuipoteza just to leak that cum! Kama unaweza nikopeshe nikulipe 250K after some time nina jambo muhimu la kuifanyiaSahivi kama unakutana na demu lazma ujipange kifedha lasivyo utakua mnyonge sana. Ipo hivi unakutana na pisi yako kesho weeknd
Usafiri weka 30k
Dinna weka 40k
Mtaenda kiwanja kikali bajet ya drinks kadiria atakunywa savanna 6 wewe heineken 6 kadiria kama 70k baada ya hapo utahitaji hotel kali au lodge ni 50k ndo uhakika utaenjoy na mgegedo utakua mzuri. Asubuhi utampa cash minimum 30k.
JUMLA 220,000/= hii bajeti imekaaje masela hauvimbi weeknd ???
umeniuliza au umesema?😁Mpenzi wako anakupa pesa daily hapo kuna tatizo![]()
kweli asee raha sana, Uhuru unakua wa kutoshaHahahaha sometimes kunyanduana hotelin kuna raha yake sana
uber sio gari, au mnachukua Uber bodaboda?Uber hio, movement za hapa na pale. Nikiwa natoka huwa sitembei na gari
HUNTER HUNTERMwisho Wa 2021 Kwa Kweli Nimehonga Kupita Kiasa Sambamba Na Mwanzo Wa Huu Mwaka 2022 Pia Nimeanza Kwa Kuhonga Kupita Kiasi.
Pumbafu kabisa mimi.
Itabidi Nishushe Uzi Kusaidia Wengine Wasirudie Huu Upumbafu.
OYAAAAAAAAAAAAAA😂😂😂😂😂😂😂Watu huku wanajua kuongeza 0 kwenye figure kama wasanii wetu tu...mtu anatoa 20k kwa dem ila anajifanya kumwandalia bajeti ya 200k..mmeanza kurudisha ile JF ya zaman ya kila mtu kuja na story kuwa ana kigari au nyumba kumbe ni uongo mtupu
Mbona unaniandikia kwa herufi kubwa kama barua ya ndugai mkuu?hahahaOYAAAAAAAAAAAAAA😂😂😂😂😂😂😂
msisitizoMbona unaniandikia kwa herufi kubwa kama barua ya ndugai mkuu?hahaha
Aaah!kwa hyo na ww n member wa kuongeza 0 kweny figure sio?msisitizo