Wanaume, haya mambo si ya kufanya

Mwanaume kulia lia/kuongelea/kulalamika juu ya mapenzi ni dalili za uchoko. Mwanaume kulalamika kuhonga ni uchoko, unataka uhongwe wewe! Uanaume ni majukumu ikiwa ni pamoja na kuhonga. Mwanaume kufanya birthday party ni uchoko tena siku hizi mnatoa cards na kumwagiana maji kama mademu. Mwanaume kuangalia tamthilia ni uboya. Mwanaume kufuatilia habari za kina Wema/Shilole na zote za udaku ni uchoko. Mwanaume kwenda kuombewa ili ufanikiwe badala ya kukomaa na kujiombea mwenyewe ni uboya pia. Mwanaume kushinda WhatsApp siku nzima kutuma video clips na msg za vichekesho ni utoto. Kushindana picha Instagram/Snapchat na demu wako ni uchoko.
Mambo mengine achieni wanamama nyie komaeni kutafuta pesa.

Sio mdau mkubwa wa MMU ila Imenibidi niandike uzi huu baada ya kukasirishwa na mada zinazotawala siku hizi JF za wanaume kulalamikia mambo ya kijinga kabisa na kuomba ushauri kwa kitu ambacho hata mtoto anaweza jua nini cha kufanya. Lini kibao kiligeuka wanaume wakaanza kulia mapenzi badala ya wanawake maana kila uzi siku hizi ni mijamaa inalia lia tu kiboya, no wonder kuna uhaba wa nguvu za kiume. Smh
Hapo umenena!!! sasa nenda jukwaa la entartainment ukajionee maajabu ya wanaume wa dar!!
 
Hao n wanaume wa DAR, ila huku kwe2 hapana michezo hyo;
[Bint wa darasa la4 huku kwetu = wanaume wawil wa Dar]
[Mwanamama m1 wa MUSOMA/MARA = wanaume7 wa Dar.]

Mkuu chunga sana kauli yako , NYIE NDIO mkija mjini wanachukua nauli ya kwenda msoma kaisha WANAWAPAKIA KWENYE MABADI YA MWENDO KASI MKASHUKIE KIMARA AU MBEZI KWA SABABU YA DHARAU ZENU.
 
Hilo la kufanya birthday nakuunga mkono mia asee inakuwaje kidume mzima uimbiwe happy birthday ni uduanzi aseee
 
Mwanaume Kufuatilia na Kuchunguza mambo binfasi ya wanaume wenzake na kuja kuyapost Jamiii Forums huo ni Ushoga
 
Ha ha ha yani nyie mlikofikia mnasikitisha
Shost angu, best angu kashtakiwa na mme wake amepelekwa polisi kwenye dawati la jinsia eti kamtukana mme wake.... Serious mwanaume na sharubu kama za paka anaenda polisi kumshtaki mke??? Mke kabisa??? Oooh men...
Shemeji wa mwendo kasi ha hah hah haah
 
100% right, Kuna na wale watoto wanaimba imba bongo foleva, Kila wimbo kulia lia ni dalili za kuwa punga. Kushinda saloon kama demu mwanaume ni upunga.
 
Mwanaume kulia lia/kuongelea/kulalamika juu ya mapenzi ni dalili za uchoko. Mwanaume kulalamika kuhonga ni ujinga, unataka uhongwe wewe! Uanaume ni majukumu ikiwa ni pamoja na kuhonga.

Mwanaume kufanya birthday party ni ujinga tena siku hizi mnatoa cards na kumwagiana maji kama mademu. Mwanaume kuangalia tamthilia ni uboya. Mwanaume kufuatilia habari za kina Wema/Shilole na zote za udaku ni ujinga.

Mwanaume kwenda kuombewa ili ufanikiwe badala ya kukomaa na kujiombea mwenyewe ni uboya pia. Mwanaume kushinda WhatsApp siku nzima kutuma video clips na msg za vichekesho ni utoto. Kushindana picha Instagram/Snapchat na demu wako ni ujinga.

Mambo mengine achieni wanamama nyie komaeni kutafuta pesa.

Sio mdau mkubwa wa MMU ila imenibidi niandike uzi huu baada ya kukasirishwa na mada zinazotawala siku hizi JF za wanaume kulalamikia mambo ya kijinga kabisa na kuomba ushauri kwa kitu ambacho hata mtoto anaweza jua nini cha kufanya. Lini kibao kiligeuka wanaume wakaanza kulia mapenzi badala ya wanawake maana kila uzi siku hizi ni mijamaa inalia lia tu kiboya, no wonder kuna uhaba wa nguvu za kiume.

" Sio mdau mkubwa wa MMU ila imenibidi niandike uzi huu baada ya kukasirishwa na mada zinazotawala siku hizi JF za wanaume kulalamikia mambo ya kijinga kabisa na kuomba ushauri kwa kitu ambacho hata mtoto anaweza jua nini cha kufanya"

mkuu hadhira yako ipo mmu bila shaka yeyote.
 
Ha ha ha yani nyie mlikofikia mnasikitisha
Shost angu, best angu kashtakiwa na mme wake amepelekwa polisi kwenye dawati la jinsia eti kamtukana mme wake.... Serious mwanaume na sharubu kama za paka anaenda polisi kumshtaki mke??? Mke kabisa??? Oooh men...


Aliogopa kumpasua uso. Mwambie dawati ninalo kwangu amlete huyo mwanamke nimkalishe one week.
 
mkuu mapenzi yamebadilika siyo hivy unavyofikiria nguvu ya mapenzi ni kwa wenyenavyo kuna wengine wamekimbiwa na wake sababu ya kipato cha chini usiseme ni uchoko ni ngumu kujizuia kwa yule unayependa kakutenda sababu ya kipato chako mapenzi hayana shujaa
 
Ha ha ha yani nyie mlikofikia mnasikitisha
Shost angu, best angu kashtakiwa na mme wake amepelekwa polisi kwenye dawati la jinsia eti kamtukana mme wake.... Serious mwanaume na sharubu kama za paka anaenda polisi kumshtaki mke??? Mke kabisa??? Oooh men...

Haraka sana nipee namba ya shost ako
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom