Wanaume, haya mambo si ya kufanya

Wanaume, haya mambo si ya kufanya

kaka kuna mashoga wanadivert nammba za ex zao baada ya kuachwa hawa cjui ni machokolo au tuwaitaje
 
Mwanaume kulia lia/kuongelea/kulalamika juu ya mapenzi ni dalili za uchoko. Mwanaume kulalamika kuhonga ni uchoko, unataka uhongwe wewe! Uanaume ni majukumu ikiwa ni pamoja na kuhonga. Mwanaume kufanya birthday party ni uchoko tena siku hizi mnatoa cards na kumwagiana maji kama mademu. Mwanaume kuangalia tamthilia ni uboya. Mwanaume kufuatilia habari za kina Wema/Shilole na zote za udaku ni uchoko. Mwanaume kwenda kuombewa ili ufanikiwe badala ya kukomaa na kujiombea mwenyewe ni uboya pia. Mambo mengine achieni wanamama nyie komaeni kutafuta pesa.

Sio mdau mkubwa wa MMU ila Imenibidi niandike uzi huu baada ya kukasirishwa na mada zinazotawala siku hizi JF za wanaume kulalamikia mambo ya kijinga kabisa na kuomba ushauri kwa kitu ambacho hata mtoto anaweza jua nini cha kufanya. Lini kibao kiligeuka wanaume wakaanza kulia mapenzi badala ya wanawake maana kila uzi siku hizi ni mijamaa inalia lia tu kiboya, no wonder kuna uhaba wa nguvu za kiume. Smh
Affirmative
 
Ha ha ha yani nyie mlikofikia mnasikitisha
Shost angu, best angu kashtakiwa na mme wake amepelekwa polisi kwenye dawati la jinsia eti kamtukana mme wake.... Serious mwanaume na sharubu kama za paka anaenda polisi kumshtaki mke??? Mke kabisa??? Oooh men...

Wanaume tunazidiwa sana na hatutaki piga nyie. Bora tuwashtaki
 
Ha ha ha ha ha mnazidiwa na nini

Simply the truth, I am married for 5 years and sijawahi mpiga hata kofi, kuna Wakati. I wish ningepata pa kumshtaki, au Mtu logical wa kutusikiliza, kwetu aibu, kwao wanamtetea, kwa watukishi sometimes wanachulia magomvi yenu advantage kumtongoza mke, mnatunyanyasa sana!!!
 
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
 
Tukiwanawa makofi shida, tukienda polisi nako shida... Mnatakaje sasa nyie wa- Beijing!
 
Ha ha ha yani nyie mlikofikia mnasikitisha
Shost angu, best angu kashtakiwa na mme wake amepelekwa polisi kwenye dawati la jinsia eti kamtukana mme wake.... Serious mwanaume na sharubu kama za paka anaenda polisi kumshtaki mke??? Mke kabisa??? Oooh men...
Huyo jamaa maungwana sana, angekua anko Marwa huyo mke ingekua story nyingine. Inakuaje umtukane mume wako?
 
Ha ha ha yani nyie mlikofikia mnasikitisha
Shost angu, best angu kashtakiwa na mme wake amepelekwa polisi kwenye dawati la jinsia eti kamtukana mme wake.... Serious mwanaume na sharubu kama za paka anaenda polisi kumshtaki mke??? Mke kabisa??? Oooh men...

ULITAKA AMKAMATIE CHINI ?AMUUMIZE MSEME MUUAJI HAPANA MSHITAKIWE TU KWA SABABU MKISHITAKIWA MNASHANGAA MKIPIGWA MNALALAMA MNATAKAJE!
 
Ha ha ha yani nyie mlikofikia mnasikitisha
Shost angu, best angu kashtakiwa na mme wake amepelekwa polisi kwenye dawati la jinsia eti kamtukana mme wake.... Serious mwanaume na sharubu kama za paka anaenda polisi kumshtaki mke??? Mke kabisa??? Oooh men...
Huyo mwanaume aliye mshtaki mke wake ni kabila gan!!!! huyo mke angekuwa mkoa fulan hivi huko kanda ya ziwa harafu amtukane mmewe sijui hata angekuwa na hali gani maana kule ni balaa tupu.
 
Ni wakati wa kubadilika jamani, mambo ya kike yamezidi kwa wanaume siku hizi,Unaenda kwa mshikaji unamsubiri avae fasta mtoke inachukua saa nzima ooh nilikua navaa, mkeo atavaa masaa mangapi? Tubadilike tuwe wanaume
 
Huyo mwanaume aliye mshtaki mke wake ni kabila gan!!!! huyo mke angekuwa mkoa fulan hivi huko kanda ya ziwa harafu amtukane mmewe sijui hata angekuwa na hali gani maana kule ni balaa tupu.
Hata hivo mke ni wa huko huko Kanda maalum
 
Back
Top Bottom