Wanaume, haya mambo si ya kufanya

Wanaume, haya mambo si ya kufanya

bac hapa wanawake wamefurahi wamepata mtu wa kuwasemea.
Haina shida ila najua ipo siku 1 utatupia uzi wa kulilia tu. Nitakukumbusha bro
 
Ha ha ha yani nyie mlikofikia mnasikitisha
Shost angu, best angu kashtakiwa na mme wake amepelekwa polisi kwenye dawati la jinsia eti kamtukana mme wake.... Serious mwanaume na sharubu kama za paka anaenda polisi kumshtaki mke??? Mke kabisa??? Oooh men...

Hauishi ndani mwao pengine mke kazidi mdomo. Kama anakuhadithia kila kinachotokea kwake hilo ni tatizo zaidi.
 
Uzuri wa anayelalamikiwa, hulala usingizi mnono bila ya kitu moyoni lakini anayelalamika ndiye huumia...

Utaangalia kasoro ngapi za dunia ya Leo na ukalala kwa amani .....
Deal na yanayokuhusu bro maana hata mwanaume anaefuatilia maisha ya watu huitwa choko

Haya back to your life.....
Kama unaishi na watu wa aina hiyo bhasi hata na wewe jitafakari maana yaonesha kuwa unafanana nao...
 
Kuhonga ni kipaji ujue! Kunatofauti kati ya kumsaidia demu na kumhonga**!😉
 
Mwanaume kushinda WhatsApp siku nzima kutuma video clips na msg za vichekesho ni utoto
 
Mwanaume kushindana picha na demu wako Instagram/Snapchat ni uchoko
 
Back
Top Bottom