Wanaume, haya mambo si ya kufanya

Wanaume, haya mambo si ya kufanya

ujinga nilioukataaga kuwa bank kuu ya mtu asiyejua uchungu wa my money huo ni uchoko pevu
 
Ha ha ha yani nyie mlikofikia mnasikitisha
Shost angu, best angu kashtakiwa na mme wake amepelekwa polisi kwenye dawati la jinsia eti kamtukana mme wake.... Serious mwanaume na sharubu kama za paka anaenda polisi kumshtaki mke??? Mke kabisa??? Oooh men...
huyo ni boya ,badala ya kupeleka mke polisi angempeleka hospitali baada ya kuwa ametoa kipigo cha mbwa mwizi ,aje kwetu tarime aone tunavyowapa adabu wake zetu mwanaume ukikooa tu mwanamke anaitikia beeee
 
Ha ha ha yani nyie mlikofikia mnasikitisha
Shost angu, best angu kashtakiwa na mme wake amepelekwa polisi kwenye dawati la jinsia eti kamtukana mme wake.... Serious mwanaume na sharubu kama za paka anaenda polisi kumshtaki mke??? Mke kabisa??? Oooh men...
Evelyn Chumvi: Huyo naye anachekesha kweli. Mbona shortcut zipo nyingi tu. Naomba unipatie namba za huyo dada nimpatanishe na mumewe naona atakuwa na hasira za kupelekwa polisi.
 
Mimi nashindwaga kuwaelewa wale wanaopigiana story za Wema na Zali. Mara sijui Shilole kafanya nn.

Aarrgh,zima.
 
Back
Top Bottom