Wanaume Hawana Huruma na Wanawake Siku hizi..

Boflo acha kujishushia hadhi. Nilikuwa nakuheshimu sana lakini baada ya kuona unavyotoa hukumu ya jumla bila hata chembe ya utafiti nimekushit. Lini uliwahoji wanaume wote ukajua hawana huruma na wadada? Je hao wadada wanaoweza kuwachuna wanaume na kuwatukana kuwa ni mabuzi wana huruma na wanaume? Tit for tat makes more sense.
Kutokana na mamboninayoyaona,watu wengi wanazidi kulalamika na baadhi ya watu wa karibu wamekuwawakinieleza jinsi wanavyoumizwa hawawengi ni wadada. Wadada wengi siku hizi tunalalamika wanaume wamekuwa Wakatili. Mi ninakubaliana nao kwa asilimia 100 Kweli Wanaume wamekuwa Wakatili haswa. Hawajali anymore lakini ninikimesababisha Wanaume kuwa Wakatili siku hizi?? Tujadili.....
 
Hivi kupigwa once in a while sio ukatili eeh?
Mapenzi siku hizi ni emotional genocide!
ukatili upi? fafanua kidogo.
kuna ukatili wa aina nyingi;-
- kupigwa mara kwa mara
- kunyimwa unyumba
- kunyimwa pesa za matumizi ya kila siku
- kununiwa ndnai ya nyumba
- kuletewa watoto wa nje
- kuletewa kimada hadi home
- kuombwa pesa za matumizi na kidume chako
- wazazi wako (wakwe) hawapati attention stahili
- hati ya nyumba na kadi za gari ziko kwa jina la kidume
- anarudi home kila siku night kubwa akiwa tilalilaa
- halipi ada za shule za watoto on time hadi wafukuzwe
- hana time na shughuli za jirani (misiba, sherehe) unapata aibu na madongo.
- Kila mara akitaka unyumba, akili yake inamtuma kwenda kinyume na maumbile

funguka basi!!!!!!!!!!!!!!
 
na wanawake wamekuwa wakatili sana yaani kuwabambikia wanaune watoto sii balaa hilo jamani na ukatili

mzabzab pengene huu wa kubambikizia watu watoto wasiokuwa wao ndio ukatili mbaya kupita wowote ule,yani kutembea nje ya ndoa utembee lakini hadi ushike mimba na kibaya zaidi unitegeshee na kuifanya niya kwangu?wanawake kuweni na huruma jamani khaaaaaaaa!!!
 
Last edited by a moderator:
Boflo acha kujishushia hadhi. Nilikuwa nakuheshimu sana lakini baada ya kuona unavyotoa hukumu ya jumla bila hata chembe ya utafiti nimekushit. Lini uliwahoji wanaume wote ukajua hawana huruma na wadada? Je hao wadada wanaoweza kuwachuna wanaume na kuwatukana kuwa ni mabuzi wana huruma na wanaume? Tit for tat makes more sense.

Father of All nimependa sana hii hapa "tit for tat makes more sense"
 
Last edited by a moderator:
Boflo acha kujishushia hadhi. Nilikuwa nakuheshimu sana lakini baada ya kuona unavyotoa hukumu ya jumla bila hata chembe ya utafiti nimekushit. Lini uliwahoji wanaume wote ukajua hawana huruma na wadada? Je hao wadada wanaoweza kuwachuna wanaume na kuwatukana kuwa ni mabuzi wana huruma na wanaume? Tit for tat makes more sense.

baba coment za wababa humu ndani zajieleza, thread na style ya baadhi humu ndo duuh, utadhani wanatamani wanawake wasiwepo duniani
 
ukatili upi? fafanua kidogo.
kuna ukatili wa aina nyingi;-
- kupigwa mara kwa mara
- kunyimwa unyumba
- kunyimwa pesa za matumizi ya kila siku
- kununiwa ndnai ya nyumba
- kuletewa watoto wa nje
- kuletewa kimada hadi home
- kuombwa pesa za matumizi na kidume chako
- wazazi wako (wakwe) hawapati attention stahili
- hati ya nyumba na kadi za gari ziko kwa jina la kidume
- anarudi home kila siku night kubwa akiwa tilalilaa
- halipi ada za shule za watoto on time hadi wafukuzwe
- hana time na shughuli za jirani (misiba, sherehe) unapata aibu na madongo.
- Kila mara akitaka unyumba, akili yake inamtuma kwenda kinyume na maumbile

funguka basi!!!!!!!!!!!!!!

Duu mbona balaaaaa!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
ninikimesababisha Wanaume kuwa Wakatili siku hizi?? Tujadili.....

Ukatili wa wanaume umetokana na kuwaona wanaume wenzao wameamua kuwa wanawake.
Wameamua kugawa tupu zao za nyuma kwa wanaume wenzao.
Wanaume walio wanaume wanahisi kuwa wanawake wahana tena thamani kwani wakileta za kuleta:
Wanaume walio wanawake watawahudumia tena qa huduma bora kabisa kuliko waitoayo wanawake.

Bazazi amegundua hilo!

Bazazi Nimesema!
 
Kutokana na mamboninayoyaona,watu wengi wanazidi kulalamika na baadhi ya watu wa karibu wamekuwawakinieleza jinsi wanavyoumizwa hawawengi ni wadada. Wadada wengi siku hizi tunalalamika wanaume wamekuwa Wakatili. Mi ninakubaliana nao kwa asilimia 100 Kweli Wanaume wamekuwa Wakatili haswa. Hawajali anymore lakini ninikimesababisha Wanaume kuwa Wakatili siku hizi?? Tujadili.....

tatizo lenu wanawake weng wa sasa mnapenda kuwa na play boys na mkawapotezea good boys xo cjui mnalalamika nni wakat mnajua play boys wako after sex.
 
Back
Top Bottom