Wanaume hawa wanawatisha wanawake!

Mtu anaiba simu anachoma... Je huyu anayeiba mke wa mtu tumfanyaje? aaaafffiiiii......
 
mbafu kabisa yaani unajitapa kuchagua guest ukiwa na mke wa mutu, msegerema weye
 
Mtu anayeweza kukufungua macho ni mume wa huyo mwanamke uliyenaye,ni suala la muda tu na wewe mkeo atakuwa akimegwa kama wewe unavyomega wa wenzako.
 
We dogo achana na wake za watu utakufa siku si zako,pumbavu sana kijana.
 
Selfishness kila kitu anakitaka yeyr
 
Mtu anayeweza kukufungua macho ni mume wa huyo mwanamke uliyenaye,ni suala la muda tu na wewe mkeo atakuwa akimegwa kama wewe unavyomega wa wenzako.

Ngoja nioe mkuu ili laana zako zitimie, ila usilaani sana,
 
Hizi hasira mkuu uliibiwa nini? Kama huna hila usihofu, haya hayatakutokea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…