Wanaume hawa wanawatisha wanawake!

Wanaume hawa wanawatisha wanawake!

Hapana Smile naona hujanielewa,sio mimi ninayejisema ni huyo mleta thread ambaye alianzisha pia hiyo thread niliokutajia kutujulisha kuwa huyo mdada ni wife of somebody.mi mwenyewe nashangaa.
aisee acha hizo ndugu yangu.mbona k zipo nyingi tuu? yaani huyo mwanamke ni shetani hafai hata kwa mchuzi
 
Last edited by a moderator:
Hapana Smile naona hujanielewa,sio mimi ninayejisema ni huyo mleta thread ambaye alianzisha pia hiyo thread niliokutajia kutujulisha kuwa huyo mdada ni wife of somebody.mi mwenyewe nashangaa.
sory mkuu hasira..jamaa anaudhi
 
dont generalize due to particular issue have gud lunch
 
Back
Top Bottom