inategemea kwa sababu kila mwanamke
ana choice aipendayo!
kuna wanawake jamani? mume wake yupo wapi ? au amerest in peace?
Mtu anayeweza kukufungua macho ni mume wa huyo mwanamke uliyenaye,ni suala la muda tu na wewe mkeo atakuwa akimegwa kama wewe unavyomega wa wenzako.Natumaini mu wazima hapa jamvini,
Juzi nilikuwa na bibie, (mke wa mtu) naendelea kuiba na penzi li motomoto, akaniambia suala likanifikirisha kiasi. Aliniambia wanawake hawapendi wanaume wachaguzi sana. Tulifika kwenye mji au jiji mmoja tukawa tunatafuta hoteli ya kukaa kwa siku mbili tatu sasa nilikuwa nimeshauriwa hoteli kadhaa. Mimi na bi mkubwa huyu tukaanza ya kwanza, sikufurahishwa na ukubwa wa vyumba, tukaenda ya pili nikaona ina kelele sana, ya tatu ilikuwa imeshachoka choka, yaani hafanyiwi matunzo mazuri mchakato ukaendelea tukapata hoteli baada ya kukagua kama saba hivi. Tulipotuwama sasa kwenye hoteli yenyewe ambayo niliridhika nayo huyu bi mkubwa kumbe muda wote tunakagua hoteli alikuwa ananitizama, ananiambia mimi ni mchaguzi sana tabia ambayo wadada wengi hawaipendi kwa wanaume. Aliniambia ni tabia inayowatisha wanawake!
Nikakumbuka tukio jingine miaka iliyopita, kulikuwa na binti mmoja mrembo wa haja, malighafi ya mke wa kuoa kabisa, mimi nikawa namzungukia ila sikuwa na mawazo ya kuoa nikawa nishafanya maendeleo ya kutosha tu kwenye mchakato wa kumlaza mtoto wa watu pua juu. Sasa akaibuka jamaa yangu mmoja wa karibu, tunaheshimiana sana kumbe yeye huyu mtoto alimzimikia na alikuwa anataka kuchukua jumla. Ikabidi mimi nirudu nyuma nimwachie jamaa mzigo aangaike nao nikaanza kumpigia na mapande ya kiaina. Tukabaki marafiki wazuri tu na yule binti. Siku moja katika stori yule binti kanieleza kuwa jamaa anamuona anafaa kabisa kuwa mume, yupo makini, anamuelekeo kwenye maisha, mchapa kazi, mkweli na muaminifu sana tu ila jambo moja linamtisha, eti jamaa ni msafi sanaaa na yupo organized hadi inamtisha na ni kama perfectionist flani! Na ni kweli ndivyo jamaa yangu huyu alivyo!
Ninajumlisha matukio haya mawili na kubakikwa na swali moja, je ni kweli wanaume wachaguzi sana na wanaume wasafi kupitiliza na walio too organized hawapendelewi sana na wanawake hususan kwa mahusiano ya kudumu?
Hebu nifungueni macho,
unazika haiMtu anaiba simu anachoma... Je huyu anayeiba mke wa mtu tumfanyaje? aaaafffiiiii......
sawa sawa_kwani wewe unaipenda ipi...mmmmh?
unazika hai
mh!mi anaejipenda,anaechagua sana
coz hiyo ni dalili ya umakini,vingine siri yangu!
huyo mwanamke ndo mwiziMtu anaiba simu anachoma... Je huyu anayeiba mke wa mtu tumfanyaje? aaaafffiiiii......
me ,myself & igood avatar_mmmmmmmmmh...lo
kuelekea 2015 tutaona mengi wallah!mbafu kabisa yaani unajitapa kuchagua guest ukiwa na mke wa mutu, msegerema weye
me ,myself & i
Natumaini mu wazima hapa jamvini,
Juzi nilikuwa na bibie, (mke wa mtu) naendelea kuiba na penzi li motomoto, akaniambia suala likanifikirisha kiasi. Aliniambia wanawake hawapendi wanaume wachaguzi sana. Tulifika kwenye mji au jiji mmoja tukawa tunatafuta hoteli ya kukaa kwa siku mbili tatu sasa nilikuwa nimeshauriwa hoteli kadhaa. Mimi na bi mkubwa huyu tukaanza ya kwanza, sikufurahishwa na ukubwa wa vyumba, tukaenda ya pili nikaona ina kelele sana, ya tatu ilikuwa imeshachoka choka, yaani hafanyiwi matunzo mazuri mchakato ukaendelea tukapata hoteli baada ya kukagua kama saba hivi. Tulipotuwama sasa kwenye hoteli yenyewe ambayo niliridhika nayo huyu bi mkubwa kumbe muda wote tunakagua hoteli alikuwa ananitizama, ananiambia mimi ni mchaguzi sana tabia ambayo wadada wengi hawaipendi kwa wanaume. Aliniambia ni tabia inayowatisha wanawake!
Nikakumbuka tukio jingine miaka iliyopita, kulikuwa na binti mmoja mrembo wa haja, malighafi ya mke wa kuoa kabisa, mimi nikawa namzungukia ila sikuwa na mawazo ya kuoa nikawa nishafanya maendeleo ya kutosha tu kwenye mchakato wa kumlaza mtoto wa watu pua juu. Sasa akaibuka jamaa yangu mmoja wa karibu, tunaheshimiana sana kumbe yeye huyu mtoto alimzimikia na alikuwa anataka kuchukua jumla. Ikabidi mimi nirudu nyuma nimwachie jamaa mzigo aangaike nao nikaanza kumpigia na mapande ya kiaina. Tukabaki marafiki wazuri tu na yule binti. Siku moja katika stori yule binti kanieleza kuwa jamaa anamuona anafaa kabisa kuwa mume, yupo makini, anamuelekeo kwenye maisha, mchapa kazi, mkweli na muaminifu sana tu ila jambo moja linamtisha, eti jamaa ni msafi sanaaa na yupo organized hadi inamtisha na ni kama perfectionist flani! Na ni kweli ndivyo jamaa yangu huyu alivyo!
Ninajumlisha matukio haya mawili na kubakikwa na swali moja, je ni kweli wanaume wachaguzi sana na wanaume wasafi kupitiliza na walio too organized hawapendelewi sana na wanawake hususan kwa mahusiano ya kudumu?
Hebu nifungueni macho,
Ndugu yangu naomba nikujibu hilo,huyo mwanamke mumewe yupo sana tu sio kwamba amerest in peace ukitaka kujua zaidi soma thread aliokuwa ameianzisha kijana Ilushenisti [natoka na mke wa mtu lakini sijutii kabisa]@Smile this world eeehhh where it takes us.................it's a riddle.
Wewe ni mpuvavu hauna adabu na mpuuzi,sisi ndo wa kutuletea uharo wako
huyo mke wa mwenyewe kakudanganya tu kukuremba
Mtu anayeweza kukufungua macho ni mume wa huyo mwanamke uliyenaye,ni suala la muda tu na wewe mkeo atakuwa akimegwa kama wewe unavyomega wa wenzako.
Unazini na mke wa mtu halafu unajiona uko salama? iko siku LAZIMA IKUTOKEE PUANI,vinginevyo mkeo ukioa lazima afanywe vilevile kama unavyowafanyia wake wa wenzio.
Eti hakuwa anapenda ulivyokuwa unachagua guest? huyo alikuwa anaogopa asije onekana na wanaomfahamu.."....aziniye na mwanamke hana akili kabisa".