Wanaume hatutoboi bila wanawake

Wanaume hatutoboi bila wanawake

Braza Kede

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2012
Posts
5,165
Reaction score
8,959
Pamoja na kujiona wababe/miamba/magangwe/makingkong lakini huo ndo ukweli.

Chukua chuma icho.

Angalizo kwa wanawake: Sasa uende nyumbani umevimba kichwa ukipasuliwa uko shauri yako usinilaumu.
 
kupenda kimoja ndio ugonjwa usiokuwa na tiba, wanawake wengi sana, Tafuta unaemzidi akili na ujanja ndio mpende huyo
 
Pamoja na kujiona wababe/miamba/magangwe/makingkong lakini huo ndo ukweli.

Chukua chuma icho.

Angalizo kwa wanawake: Sasa uende nyumbani umevimba kichwa ukipasuliwa uko shauri yako usinilaumu.

Acha ujinga wewe.
Bila Mungu au Shetani hutoboi.
Bila kufanya kazi kwa bidii hutoboi.
Aliyekuambia bila mwanamke hutoboi nani?
 
Pamoja na kujiona wababe/miamba/magangwe/makingkong lakini huo ndo ukweli.

Chukua chuma icho.

Angalizo kwa wanawake: Sasa uende nyumbani umevimba kichwa ukipasuliwa uko shauri yako usinilaumu.
Angalizo muongee haya mkiwa hamna upwiru , ukiwa nao unakuwa mnyenyekevu sana
 
Back
Top Bottom