Wanaume hatuoi ujinga

Excellent
 
Wakivaa madera na kujisitiri hamuwataki mnasema wazee oooh washamba sasa jema lipi kwenu wanaume?
We jistiri tu ukivaa nusu uchi tunakuona nauza kifacho ni one ngt stand
 
Tatizo wanajifanya vichaa, lakini ukweli wote wanaujua hao
 
Ni mwerevu ndio maana najitambua sivai onvyo
Basi hukunielewa nilichomaanisha na huyo mumeo ana kazi kubwa sana maana Mmh!
Shortly nilimaanisha kuwa unaweza muoa mtu anajifunika kuanzia kichwan hadi unayoni lakini ni mbishi mgomvi na mtaka Shari, empty brain lakini ukampata mtu ambae ana rekebishika mvaa skin jeans vitopu na vipedo lakini kichwani zimo mwelevu mpenda maendeleo n.k huyu ndio mke pamoja na mapungufu ya mavazi aliyonayo lakini ana rekebishika Mwanaume anaweza akamrekebisha kwa namna yoyote anayoitaka kuanzia mavazi mpaka mambo mengine watu huwa Hawaoi kwa muonekano wanaoa Tabia hasa tabia njema yenye usikivu ndani yake kama mumeo kakuoa kwa kuvaa kwako baibui tu basi jua ana hasara kubwa sana
 
Kwann uvae vimodo huku unakiili kichwani. Vimodo na vitop wanavaa akina nani?
 
Sitetei ujinga
ila ni ujinga mwanaume kum judge mwanamke kwa muonekano wake mtaani eti wavaa skin vimini pedo na tight clothes basi wote ni Malaya! Wengine huvaa kwa hoby tu ila wana maadili yao waliyofunzwa na wanaweza wakawa ni wake Wema kuliko yule anayevaa kwa kujifunika! Kama unataka kuoa mwanaume tafuta mwanamke mwelevu msikivu mwenye tabia njema anayejitambua na kukubalj kukosolewa! Hayo mengine mtarekebishana taratibu mpaka atakaa kwenye mstari uutakao, bahati nzuri nilizaliwa na kulelewa kwenye u kristo begi langu La nguo 70% zilikua ni suruali tena ni skin jeans,vimini na vipedo gauni nilikua Nazi chache sana lakini nikampata Bwana Muislam ambae leo ni Mume wangu, sasa hivi ukiiona nywele yangu hadharani basi jua wewe umekuja nyumbani kwangu lakini si barabarani
 
Kwann uvae vimodo huku unakiili kichwani. Vimodo na vitop wanavaa akina nani?
Ndo unipe ufafanuz kuwa ni sehemu gani imeandikwa kuwa vimodo na vitopu wameumbiwa watu fulani au ni maamuzi
 
Ndo unipe ufafanuz kuwa ni sehemu gani imeandikwa kuwa vimodo na vitopu wameumbiwa watu fulani au ni maamuzi
Wewe elewa ivyo, usiulize tena maswali kama wanawake wajinga wanavyofanya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…