Wanaume handsome, wanawake warembo ni shida kwenye ndoa

BTW utakubali kuolewa na Pinda type as long as he is good to you

I do not make fun of God's creation.

I do not believe any of God's creation is ugly because hawakujiumba wao.

It could have been me but God gamme looks that make many men stare at with awe.

Upo babu we?
 
Mie wangu handsome ila hasumbui. Punguza asilimia hapo kwenye utafiti wako.

Wako wengine sura mbaya ukimtishia mtoto dudu hyo lazima alie lakini wasumbufu kwa kila design.

Mi nadhani ni fifty fifty sema wabaya hatufuatiliwi kwa hiyo matatizo yetu hayajulikani.
Haipungui hata nusu asilimia ni kweli tupu
 
I do not make fun of God's creation.

I do not believe any of God's creation is ugly because hawakujiumba wao.

It could have been me but God gamme looks that make many men stare at with awe.

Upo babu we?

Nipo bibi wewe
Tatizo ni kuwa mtu ukiongea plain truth unaonekana arrogant
Mtu ana sura mbaya, (na ni kweli unakuta ana sura mbaya) lakini ukisema yule ana sura mbaya kila mtu anakushambulia kuwa hajajiumba mara wewe ukoje mara acha majivuno sasa kama mtu ana sura mbaya tuseme anayo nzuri(sie wengine hatuwezi unafiki)

Lastly am handsome hadi kerooooo(sikujiumba mwenyewe kwa kweli lakini lazima nyeupe iitwe nyeupe na nyekundu iitwe nyekundu)
 
nampongeza mama tunu pinda na wasira kwa ujasiri walionao,ila naanim duniani wawili wawili
 
Naturally Ili umfukuzie binti, mwanaume unaanza kuvutwa na Uzuri wake. Hata hamu ya ku-"do" inachochewa na hili.
Tabia inakuja baadaye...ni swala la kukaa pamoja na kumfahamu. kumbukeni relationship ndio inapelekea ndoa, ukimshindwa kwenye relationship inamaaana hatavuka hatua ya ndoa. labda kwa wale wenye ku test fertility problem kupitia kuwapa ujauzito wapenzi wao kabla ya ndoa. After all No one is perfect.
 
Karudie vizuri tafadhali. Hujakosea kuhusu nasaba ila kwa kuongezea ni kwamba tabia pia inaangaliwa na nasaba aliyotokea, je familia yake tabia zao zipoje? ukoo n.k. nadhani umenipata illuh

nasaba navyojua ni kama alipotokea...ukoo wake, kabila nk....
Lkn ngoja nitarudia vizuri
 
Nipo hapa mi bonge la Handsome, nimetulia na sina girlfriend ambaeyuko tayari aje PM.

Nakuahidi tukiridhiana natangaza ndoa.
 
Naturally Ili umfukuzie binti, mwanaume unaanza kuvutwa na Uzuri wake. Hata hamu ya ku-"do" inachochewa na hili.
Tabia inakuja baadaye...ni swala la kukaa pamoja na kumfahamu. kumbukeni relationship ndio inapelekea ndoa, ukimshindwa kwenye relationship inamaaana hatavuka hatua ya ndoa. labda kwa wale wenye ku test fertility problem kupitia kuwapa ujauzito wapenzi wao kabla ya ndoa. After all No one is perfect.

Nakubaliana nawewe asilimia 2000.
Wa kutafuta mwenyewe ni 'mvuto kwanza'
Akikushinda kitabia hata nia hutatangaza...

Labda wanaotafutiwa ndio wanaweza kutoa specifications...

Na tabia mbaya haina uhusiano na u handsome...
Mimi wangu ametulia na mvuto wake..
Na kuna wengi tu nawajua wametulia na mivuto yao...
 
Na wengine hawajatulia pamoja na sura mbaya zao
 
Kutokana na kutodumu kwa ndoa za miaka hii...naanza kuelewa kwanini wazee wa zamani walikuwa wanawachagulia watu wa kuoa au kuolewa na watoto zao....
 
Na wengine hawajatulia pamoja na sura mbaya zao

Sure..
Tena ni Heri uumizwe na mzuri kuliko mwenye sura ya kauzu, angalau watu wata feel maumivu yako.
Otherwise watu watakushangaa. Na kukulaumu unachong'ang'a nia ni mini hasa?
Unless Kwa wale wasiohitaji kutegemea ushauri wa ndugu na marafiki na jamaa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom