Wanaume embu nisaidini hili

Naomba unipe maujanja kwanza theory lakin
 
Hilo sijafanya jamni ngoja nianze kula kungu
 
don fall in love with a dreamer...! usiidhulumu nafsi yako mwache aende hakupendi hakujali hakuthamini hajui maumivu yako mahali fulani mtu fulani anakusubiri atakusahaulisha yote hayo na utashangaa alikuwa wp siku zote
 
Usiseme hivyo nifundishe mwenzio
 
Hilo sijafanya jamni ngoja nianze kula kungu

huo nimetoa mfano tu..........
nilichotaka ujue ni kuwa usitabirike ,,,,,,,,,,, ili mapenzi yanoge na yasichoshe inabidi yawe na excitement na adventure za kutosha..........
 
Okey lakini kama usafi sijui hivuo hapo nimefanya for 4 years unataka kusema alikuwa anavumilia ... any way nadhani kuna maana nyingine ya hot
 
huo nimetoa mfano tu..........
nilichotaka ujue ni kuwa usitabirike ,,,,,,,,,,, ili mapenzi yanoge na yasichoshe inabidi yawe na excitement na adventure za kutosha..........

Asante kwa ushauri mkuu
 
don fall in love with a dreamer...! usiidhulumu nafsi yako mwache aende hakupendi hakujali hakuthamini hajui maumivu yako mahali fulani mtu fulani anakusubiri atakusahaulisha yote hayo na utashangaa alikuwa wp siku zote

Asante mkuu..
 
Kweli kabisaa.... Kusoma alama za nyakati muhimu..!
 
Nachojua hizo ni dalili za kuchokwa..hata ukajisugua na mchanga mwanaume akikuchoka habadiliki...be real woman to avoid drama
 
Mnunulie gari nakutania
Mchunie kwa muda anzisha urafiki wa kawaida Na Wa Karibu lkn sio Wa kimapenzi ila yeye ajue urafiki wenu.
Pendeza na jirekebishe madhaifu yako. Tengeneza wivu atarudi tu
 
hayo yote yanafanywa lakini bado naonekana sipo hot..

Si basi you bounce!

Is it just me nakosaga muda wa kujiuliza uliza maswali kwenye relationship?

Dude, if you think there is something wrong with me and you don't spell it out then am out.
 
Tatizo madem wengi mnajiamini sana kupita kiac haswa ktk suala la usafi,mkishaona mmezoeana na wapenz wenu bac mnbweteka.Wengi mnaoga kutwa mara1 haswa kwa wale house wives(ambao mnashinda home),na wengine huwa wanaoga asubuhi na mchana,wanajisahau na kibarid cha ucku hatimae wanakuwa kero kwa waume zao au maboy zao
 
Mmh jamani mimi sitaki kujitetea ila kiukweli sikufanya hivyo
 
Si basi you bounce!

Is it just me nakosaga muda wa kujiuliza uliza maswali kwenye relationship?

Dude, if you think there is something wrong with me and you don't spell it out then am out.

Oooh that great .. me nashindwa mpenzi
 
Mnunulie gari nakutania
Mchunie kwa muda anzisha urafiki wa kawaida Na Wa Karibu lkn sio Wa kimapenzi ila yeye ajue urafiki wenu.
Pendeza na jirekebishe madhaifu yako. Tengeneza wivu atarudi tu

Mmh kurudi huyu mngoni amentesa sitaki arudi ila nataka kujifunza where i did wrong? Ndo maana. Nikataka mnifunze
 
dada, huyo si wako,tafuta mwingine. hayo yote ni kukuvuruga ili uonekane as if humjali. tafakari, chukua hatua
 
Nachojua hizo ni dalili za kuchokwa..hata ukajisugua na mchanga mwanaume akikuchoka habadiliki...be real woman to avoid drama

Okey mamy nimesha achwa i need to learn more na kujirekebisha..... okey i will avoid for the coming one
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…