Wanaume embu nisaidini hili

Kuwa hot kuna variables nyingi sana ndani yake...

Ntarudi baadae kushusha madesa yake..

wadada nitumieni PM kwa mnaohitaji eenh! attach kabisa na namba zenu za M-pesa! lol.

Unatutega eeh?
 
Asante kwa ushauri mkuu

dah! una mawazo kama yangu ingawa naonekana sijielewi,sijapenda lakini ukweli ubaki kuwa ukinichoka,nimekuchoka kiroho safi 2achane maswala ya kubembelezana/kunyenyekeana wakati kuna mambo ya msingi,,hayapo
 
Mkuu acha kabisa alafu ukwel anaujua alafu anakutesa tu..
 
Vipi angalau sasa shemeji amekukubali ameacha zile za kusema hauko hot na mengineyo?
 
Mimi sipo hivyo, karibu.
 
Wallahi pombe itakoma![emoji23][emoji23][emoji23].......Hamna namna,wewe rudiana tu na mpenzi wako mpendwa-pombe![emoji1]
 
Kiranga chako yote haya usingekuwa unayapata mimi napita!!
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…