miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,109
Uwe na mvuto kimapenzi. Yaani ujiweke vizuri.
- mnaposema unataka niwe hot maana yake nini? au unataka niweje?
Uwe na mvuto kimapenzi. Yaani ujiweke vizuri.
Kwa mfano, ukiwa umejaaliwa ile chakula ya mtoto, si mbaya mara moja moja kuonyesha ubunifu. Onyesha ule mgawanyo (cleavage), nifanyie shimmy, vaa sketi zenye slit....
Ukivaa viatu vya kokoko basi badili mwendo...tembea kaa Naomi Campbell kwenye catwalk
Kuwa msafi, nukia vizuri, floss meno, kuwa na meno meupe, paka viondoa harufu (deodorant) - kama antiperspirant zinakupa shida basi uwe unaweka armpit pads kuzuia jasho kuvuja kwenye kitop chako...
In a nutshell, be a lady in the street but a freak in the sheets.
Kwa ninavyojua mimi. Jamaa atakuwa amepata bibie anayempa mboga zaidi yako. Ndiyo maana anakuwa amepata kiburi. Kwa kweli kwa sisi wanaume kama mtu hupokei simu kimakusudi ni jambo la kipuuzi. Jamaa hastahili upendo hata kidogo. Move on... Atakuja kujua thamani ya upendo wako na atajutia sana. Maana girls/women with sincere hearts ni wachache sana these days.
Uwe na mvuto kimapenzi. Yaani ujiweke vizuri.
Kwa mfano, ukiwa umejaaliwa ile chakula ya mtoto, si mbaya mara moja moja kuonyesha ubunifu. Onyesha ule mgawanyo (cleavage), nifanyie shimmy, vaa sketi zenye slit....
Ukivaa viatu vya kokoko basi badili mwendo...tembea kaa Naomi Campbell kwenye catwalk
Kuwa msafi, nukia vizuri, floss meno, kuwa na meno meupe, paka viondoa harufu (deodorant) - kama antiperspirant zinakupa shida basi uwe unaweka armpit pads kuzuia jasho kuvuja kwenye kitop chako...
In a nutshell, be a lady in the street but a freak in the sheets.
You need to be strong first by looking onto you weakness and fix!
Get them/him find a reason to love, care for you!
Dont try to please them if there is no reason to please them/him!
If you are not married then making love is not what you need but do it for fun or because it feels good to do it, getting someone to make love to you needs sacrifices nyingi na kujitesha as you said but get someone to f***k its easy and mara nyingi those who comes for only F**k are those mostly finding themself want to stay!
habari zenu wanajf .....
kuna jambo linanitatiza sana limenikuta mara kadhaa na hata baadhi ya rafiki zangu. nimejikuta na maswali mengi kutokana na hilo jambo:
- mnaposema unataka niwe hot maana yake nini? au unataka niweje?
- mwanaume upo mbali na mimi may be mkoa mwingine alafu unaniambia sihangaiki na wewe.. wakati muda wote najitahidi kupiga simu kuchati ? kwa hapa huwa mnataka tufanye nini?
- ulikuwa mbali penzi lililegalega umekuja karibu unaamua kuniacha kuna kuwa kuna nini hapo jamani?
- unapopigiwa simu upokei alafu baada ya mda unakuja kupokea au unapiga ujaulizwa unaanza kunifokea na kunigombeza huwa hapo unaficha nini ?
wanawake mnakaribishwa ila nilitaka wanaume ndo wanijibu ...jamani napata wakati mgumu sana hata kufikiri kuanza upya katika mahusino mengine nahisi ni yale yale tu..... wapenzi wangu nipeni maujanja nifanyaje mimi.... ila theory practical nitafanya mwenyewe....
- pamoja na kuniambia kuwa naudhaifu huo nakuomba msamaha na kutaka kurudiana na wewe bado unakataa tena kwa nguvu zote. najiuliza ni kwamba katika mazuri yote nayo jitahidi kufanya uoni unaona, visababu vidogo?
naombeni msaada wenu please..
asante mbarikiwe
hayo yote yanafanywa lakini bado naonekana sipo hot..
hayo yote yanafanywa lakini bado naonekana sipo hot..
It's not just about doing it, it's more about doing it right.
So question comes, are you doing it right? You can't just be doing the same thing over and over.
You got to know when to switch it up, when to redouble your efforts, when to bounce, etc.
1] Tunataka mupendeze, kama ni mke wangu nitakupa fullu material, ibaki wewe tu!mnaposema unataka niwe hot
maana yake nini? au unataka
niweje?
Tunajua m/ke akizoea libolo, akilikosa ni lazima atachakachua! Tunawakazia makusudi ili muache kuliwa na me wengine! Tukiwalegezea tu, mnachakachuliwa bila hiana!mwanaume upo mbali na mimi
may be mkoa mwingine alafu
unaniambia sihangaiki na
wewe.. wakati muda wote
najitahidi kupiga simu
kuchati ?
Tunataka mjilinde!Kwa hapa huwa mnataka tufanye nini?
Penzi kulegalega maana yake nini?ulikuwa mbali penzi
lililegalega umekuja karibu
unaamua kuniacha kuna kuwa
kuna nini hapo jamani?
Hiyo tunaiita counter attack!unapopigiwa simu upokei
alafu baada ya mda unakuja
kupokea au unapiga ujaulizwa
unaanza kunifokea na
kunigombeza huwa hapo
unaficha nini?
Hapa nakuwa nimekuchoka, kukuambia live live unaweza kuniapiza! Lol!pamoja na kuniambia kuwa
naudhaifu huo nakuomba
msamaha na kutaka kurudiana
na wewe bado unakataa tena
kwa nguvu zote.
Tukiwachoka huwaga hatuangalii mazuri! Na tukifikiria mazuri hatowaacha ilhali tunakuwa na mwengine mpya ambae anakuwa mtamu sio used kama wewe!najiuliza ni
kwamba katika mazuri yote nayo jitahidi kufanya uoni
unaona, visababu vidogo?
Tulia na Mashaxizo ule raha wewe!wanawake mnakaribishwa ila
nilitaka wanaume ndo
wanijibu ...jamani napata
wakati mgumu sana hata
kufikiri kuanza upya katika
mahusino mengine nahisi ni yale yale tu..... wapenzi wangu
nipeni maujanja nifanyaje
mimi.... ila theory practical
nitafanya mwenyewe....