Wanaume eh! Bia Vs Mwanamke, nini zaidi?

Wanaume eh! Bia Vs Mwanamke, nini zaidi?

Stop comparing stupid things with beer
 
Bierr mambo yote...haingiii kwenye siku zake, ukinunua moja kisha nyingine haichukii, haina wivu, hakuna michepuko nk,
 
Unalingabisha beer na mwanamke?Ww jamaa umelogwa au?

Naweza kuishi bila mwanamke lkn siwezi kuishi bila kunywa beer bana!
 
Kama wewe ni mnywaji wa Bia inapendeza uanze na Bia kwanza halafu mwanamke baadaye.Swala la control ya hela ukiwa bar ni akili ya mtu binafsi unaweza ukawa na mkeo na bado uka over spend.
 
Pole mamiii,inaonyesha shemeji hakuachii pexa ya matumizi ya kutosha then ukapata habari kuwa anamwaga pexa bar.
 
Back
Top Bottom