Wanaume eh! Bia Vs Mwanamke, nini zaidi?

bia ni bora kuliko mwanamke

sabab
1. gharama nafuu
2.hakuna wivu pale mtu anaposhare bia yako
3.unaipata ukitaka bia haina siku zake
 
Wanaume naomba majibu kwenye hili, maana nimeona masela wengi wanang'ang'ana na bia bar kuliko wanavyong'ang'ana kuja na wake zao bar.

Siyo lazima mwanamke anywe ila ni vizuri akawa karibu yako, maana saa nyingine tunakunywa hata laki 5 kwa siku, ila Ukiwa na mkeo au mchumba wako angalau atakucontrol.

Sasa nataka kujua kipi chenye umuhimu hapo maana duuhhh

Nenda rombo kaulize
 
"Acha kulinganisha bia na mambo ya kipuuzi"

Just joking.
 
bia ni bora kuliko mwanamke

sabab
1. gharama nafuu
2.hakuna wivu pale mtu anaposhare bia yako
3.unaipata ukitaka bia haina siku zake

Hahahahahahhahahahahahahaha

Hiyo no 3 umeua
 
vyote ubora sawa ukitumia unaenda kukojoa
 
Back
Top Bottom