Boss inaonyesha na wewe ni mmoja wa hao..😛opcorn:
Ha ha haaaa.... hiyo itakuwa ni new sex inayofanana na male!!!Wanaume siku hizi wanaiga mambo yetu.
Kuna siku nilimuona mwanaume amevaa skin jeans, lol!
Nilichoka.
wanaume siku hizi wanaiga mambo yetu.
Kuna siku nilimuona mwanaume amevaa skin jeans, lol!
Nilichoka.
we unachoka na skin jeans..
Huwaoni wanaopaka poda na hereni masikio yote mawili?
Na kujichubua juu?
Tazama kina kanumba ray na wasanii wengine....
that is normalll
whaaaaaaaaaaaat!! Vipi mpenzi is normal? Basi normal itakuwa na maana mpya!:sick::sick:
Haiwezekani mtu akaanza tu kukwambia I miss you bila kuzoeana au kuwa na namna fulani ya kuwasiliana naye...sema kina dada wengi mnapenda kuoperate according to weather....ukiwa na mimi unakuwa free kabisa....ukinimabia leo umechoka unalala nikakukuta na jamaa sehemu nyingine unakuwa mtu tofauti. What is the problem? Kama unaliona hilo ni tatizo usitaniane kabisa na wanaume maana wengine tunaoperate free ili mradi hatuvunji sheriaInakuwaje mwanaume mwenzio anakupigia simu anakwambia mambo vipi mpenzi?au shost au mtu wangu,au utasikia anakwmbia nimekumiss.....bila kujarisha huko katika mazingira gani hata usiku au huko na mama watoto?baada ya hapo utasikia see you later and take care..
Wanaume siku hizi wanaiga mambo yetu.
Kuna siku nilimuona mwanaume amevaa skin jeans, lol!
Nilichoka.