MbuziMzee, naona hujipendi. Pamoja na kuandika ama kuweka picha za ukweli sitoshangaa wakaja watanzania wenzangu kukutukana kisa umeweka uozo uliokithiri hapa nchini. Yaani sielewi kwanini tunakuwa na tabia ya kutokubali ukweli. Huu ni mwaka 2012 na karne ya 21 ujamaa wa kubeza ujinga umeisha, yabidi tubadirike jamani ili tulete mapinduzi hapa nchini.
Hawa ni wasanii wa fleva au bongo movie? Nauliza hivyo kwa sababu njaa zao ndizo zinawafanya kulazimisha umaarufu kwa kufanya vitu vya kitoto ili waandikwe.