Wanaume badilikeni

Vijana siku hizi!!
Nakumbuka enzi zetu mtoto wa kike akija ghetto...kinachosimamisha mashambulizi ni pale anapoaga kuondoka!! Siku ana haraka sake hakosi tano!!!
 
na nyie wanawake mkifika huko magetoni muwe mnawasaidia waume zenu kufanya usafi siyo mkifika tu unaanza kwichi kwichi
 
Dada play list yako ina mutu wa ngapi? Don't tell me unaangukia kweny sample hizo hizo za "bao moja kwishnei"!

Pole kazi masahibu hayo, seems hata kupandishwa ka kichuguu tuu hujawahi!

Tatizo pia wanawake wengi mmezoea "nipe" hamko "nipe nikupe", Mtu mpaka ajistim mwenyewe

NB: Hao wanaume wa zamani walikuwa wanapata support za kutosha kutoka kwa wanawake walioenda unyagoni.
 
Mimi sio wa zamani mkuu bado mbichi kabisa tatizo lenu mnapenda sana chipsi mayai kiasi kwamba hamuwezi kwenda hata vibao wivili tuu
Kamaa umeolewa afuu unalalamikaa namnaa hiii tatizo nilako. Hizo chips anaziliaga nyumbani kwenu itakuwa we ndo unamuandalia? Au we ndo wale kilaa mtuu anakaa kwa wazazi mkikutana unataka kufakamiwa wakat hujui mwezio kashatia chips zilizokaangwa na zutu ya transformer
 
Sometimes inawesekana na wewe haujitumi 6x6 unakaa tu kama gogo jamaa ajihudumie mwenyewe.
 
na nyie wanawake mkifika huko magetoni muwe mnawasaidia waume zenu kufanya usafi siyo mkifika tu unaanza kwichi kwichi
Usafi tunawasaidia lakini hambadiliki kabisa hata kujiongeza
 
Sapoti tunawapa sana ila sijui mna matatizo gani siku hizi
 
Mbona povu. Ongea na mwezako akupe mzigo wa maana na siyo kuongea ovyo ovyo. Kama akuridhishi njoo hapa tegeta kibaoni ukojoleshwe. Mpaka useme aleluya
 
Mbona povu. Ongea na mwezako akupe mzigo wa maana na siyo kuongea ovyo ovyo. Kama akuridhishi njoo hapa tegeta kibaoni ukojoleshwe. Mpaka useme aleluya
Yupo humu akisoma ataelewa na kubadilika mkuu
 
Hapo kwenye nipe nikupe ndiyo ipoje mkuu?
 
Shida sio idadi ya magoli shida ni yanapigwa kwa muda gani? maana kuna mtu anaweza piga bao tatu kwa nusu saa ila mwingine akapiga bao moja kwa dakika 40 so uskalili unaweza pigwa mojatu ila la maana.
 
Hapana sio bwawa mkuu ni mnato kabisa sema chips yai na vitambi vinawafanya mwende bao moja halafu dakika 2 tuu
Nina ushahidi wa kutosha kabisa. Kuna demu ukichukua unapiga hata goli kumi na tano bila kukwama lakini demu mwingine hata hilo moja ni la kutumia hisia nyingi.

Kajiangalie tena nasisitiza au ratio ya viungo vyenu vya uzazi ikoje??
 
Ww una bahati mbaya. Hukupata wanaume (siyo wanaume), ulipata wavulana. Haujamaliza wanaume wote umeshaanza kulalamuka, nani kakuambia tunafanana! Wengine cc ni kama dog.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…