trudie
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 4,446
- 10,800
Habari za jumapili wana MMU,
Hivi nyie wanaume nani kawaroga jamani mbona wenzenu wa zamani hawakuwa hivyo? Kweli mwanaume unapiga bao moja umechoka mpaka unalala usingizi?
Mnawatesa watoto wenzenu, mnawachafua na kibao kimoja mnategemea waende wapi au wapige punyeto? Tatizo mazoezi hamtaki kufanya na chips mayai ndiyo chakula chenu kikuu, hebu badilikeni, waridhisheni wapenzi/wake zenu.
Jamani halafu nyie wanaume badilikeni, acheni uchafu. Unakuta mwanaume hata hajijali, chumba chake ukienda ametupa minguo chini, soksi chini ya uvungu, boksa kila sehemu, siyo tabia nzuri.
Halafu hapo eti unategemea kupata mwanamke msafi, nani atakuvumilia uchafu wako?