Wanaume andikeni majina ya mama zenu kwenye hati ya viwanja na nyumba

Hili nalisemea ili liwe fundisho kwa wanawake ambao wanaingia kwenye ndoa kwa tamaa ya mafanikio ya mwanaume ili wakinukishe wagawane Mali.

Hili limemtokea mwamba Fulani jirani yetu hapa. Mwanamke kachukua mkopo akagushi nyaraka kuonyesha kuwa huo mkopo wamekubaliana na mmewe, baada ya kuchukua mkopo huo kwa siri bila mmewe kujua na baadae mambo yakamuendea kombo jamaa wa mikopo wakaja kupiga nyumba mnada

Unajua nini kilitokea..

Nyaraka za nyumba na kiwanja si za kwao za mama mzazi wa mwanaume kwa hiyo kesi ikamgeukia mwanamke ajibu na alipe mkopo.

Ndoa ikavunjika na wakati wa kugawana Mali mwanamke aliambulia nguo zake na jiko la mkaa na vyombo.

Hili ni kwa wanawake wachumaji ila kwa mwanamke material aliyekamilika unaweza ukamfikiria, japo wanawake wapo kama kinyonga unaweza kubadilikiwa anytime.

Kuwa muangalifu tulinde musitakabali wa familia zetu
Yaani madem Wa bongo wanapenda mteremko sana aisee, ona Sasa yanamtokea puani
 
Bank ilitoa mkopo kwa dhamana ipi??? Kama ni nyumba kwa hati ipi inayoonesha mama wa mume ndo mmiliki??????? Chai kama imekuwa nyeusi sanaaa na chungu nadhani umezidisha majani mkuu
 
kama aliponioa hakua na nyumba tukajaaliwa kujenga amwandike mama yake kwa misingi gani?? cha mama akeni kile alichochuma na baba yake yan kama tumechuma pamoja lazima niwepo kwenye documents

hayo mambo ya kumpa mama mwisho wa sikumama anaenda mbele za haki mashemeji na mawifi wanikalie rohoni kisa nn??
Na mwanamke hawezi telekeza watoto utapokuwa haupo lakini ndugu zako wakijitahd haitazid mwezi watoto wataanza kukiona cha moto
 
Lakini sheria itamlinda mwanamke kwa kile kilichopatikana wakati wa ndoa yao, haya mambo sio marahisi kama yanavyoonekana
Kipi? Wakati hati za mali zina majina ya mama... Sasa hiyo ndoa kama alifunga na mama aende akamdai maana mimi kisheria sina mali
 
Sijasoma...ila nyumba yenye jina la Mama Ni urithi wa watoto wa huyo Mama...kujenga Wewe alafu ukaandika jina la Mama yako...inamaana umempe

Na akifa mama... watoto wake huyo mama Wana haki ya Kurithi HIYI NYUMBA....

So usitegemee mkeo eti umekufa Mama yako nae akifa atapa kitu na hao watoto wataishi kwa rehema za Ndugu walio baki
Kwa nini mnawaza mume au mama akifa? Mke hafi? Tuwazie mke akifa inakuwaje?
 
Aisee mnaishi kwa tabu sana!

Hii yote ni kwa sababu ndoa imegeuzwa kuwa mtaji wa biashara.

Watu wameota makucha wanatamani kupora mali kuliko kujenga familia.
 
Ninavyompenda huyu mwanamke akimaliza kuuza mali aniuze na mimi potelea pote
 
Acha FIX Mkuu, kuna benki gani inayoweza kukopesha mtu kabla ya kujiridhisha kwanza na uhalali wa nyaraka? Unadhani huku ni FACEBOOK kwa watoto wenzako, eti?

Wewe jamaa document zinatengenezwa wewe huna exposure ndio mana unaropoka wewe na hujakutana na visa wewe, mimi nimewah kufanya kazi na hao jamaa wa mikopo i know the game, wewe kama unaongelea mbwinde kwenu sawa ila daslama hakuna kinachoshindikana...kama cheti cha form four kinatengenezwa kina muhuri wa moto itakuwa hizi document za nyumba ??
 
Siku mama yako kafariki (siombei) ndugu zako wanakuja kugawana mali za mzazi wao, hapo ajili ndiyo itakukaa sawa.

Haya mambo hakuna haja ya kuandika jina la mtu asiyehusika, just be a man!
 
Kama kuna watoto bora waandikwe wao, hii ya kuandika mama sijui dada kuna leo na kesho, watoto wanaweza kosa haki yao.
 
Back
Top Bottom