Wanaume andikeni majina ya mama zenu kwenye hati ya viwanja na nyumba

Hili nalisemea ili liwe fundisho kwa wanawake ambao wanaingia kwenye ndoa kwa tamaa ya mafanikio ya mwanaume ili wakinukishe wagawane Mali.

Hili limemtokea mwamba Fulani jirani yetu hapa. Mwanamke kachukua mkopo akagushi nyaraka kuonyesha kuwa huo mkopo wamekubaliana na mmewe, baada ya kuchukua mkopo huo kwa siri bila mmewe kujua na baadae mambo yakamuendea kombo jamaa wa mikopo wakaja kupiga nyumba mnada

Unajua nini kilitokea..

Nyaraka za nyumba na kiwanja si za kwao za mama mzazi wa mwanaume kwa hiyo kesi ikamgeukia mwanamke ajibu na alipe mkopo.

Ndoa ikavunjika na wakati wa kugawana Mali mwanamke aliambulia nguo zake na jiko la mkaa na vyombo.

Hili ni kwa wanawake wachumaji ila kwa mwanamke material aliyekamilika unaweza ukamfikiria, japo wanawake wapo kama kinyonga unaweza kubadilikiwa anytime.

Kuwa muangalifu tulinde musitakabali wa familia zetu

Wakati unaandika majina ya mama yako
Utaniruhusu niendelee kujenga nyumba yenye jina langu?
 
Sijasoma...ila nyumba yenye jina la Mama Ni urithi wa watoto wa huyo Mama...kujenga Wewe alafu ukaandika jina la Mama yako...inamaana umempe

Na akifa mama... watoto wake huyo mama Wana haki ya Kurithi HIYI NYUMBA....

So usitegemee mkeo eti umekufa Mama yako nae akifa atapa kitu na hao watoto wataishi kwa rehema za Ndugu walio baki
 
Sasa nn kifanyike!?
Nyumba zina majina ya watoto msimamizi wao kama bado niko hai mimi, nikifa Mzee/Bi mkubwa au wasimamie na Mama!?

Zamani kuna ile ulikuwa unasikia Jacob & sons.. Waarabu wameitumia sana.. na mali haitapanyiki.
 
Labda kwa wanawake mnaookota huko barabarani,lakini kwa mwanamke tena mama wa familia mna watoto ni bora mali kuandika majina ya watoto kwa sababu hata likitokea la kutokea mama hawezi watupa watoto lakini inapotokea mali zako umeandika majina ya mama yako kisheria zile mali ni za watoto wote wa mama,ikitokea bahati mbaya ukatangulia kufa ujue watoto wako hawana chochote,
Kila kitu kina faida na hasara cha muhimu ni kuwa makini kwenye swala la kuoa
 
Aisee.
Ni wazo zuri kwenye mazingira kama hayo. Ila kwa upande wa pili inaweza ikawa mwiba mchungu kwa watoto wako na mke kudhulumiwa nyumba na ndugu zako iwapo mume utafariki.

Sijasoma...ila nyumba yenye jina la Mama Ni urithi wa watoto wa huyo Mama...kujenga Wewe alafu ukaandika jina la Mama yako...inamaana umempe

Na akifa mama... watoto wake huyo mama Wana haki ya Kurithi HIYI NYUMBA....

So usitegemee mkeo eti umekufa Mama yako nae akifa atapa kitu na hao watoto wataishi kwa rehema za Ndugu walio baki
Its true kabsa,hiyo inakuwa ni ubinafsi tu wa mali kwa sababu kama mmejenga pamoja ni ya kwenu wote ata kama jina kwenye hati ni la mwanaume.
 
Kama aliponioa hakuwa na nyumba tukajaaliwa kujenga amwandike mama yake kwa misingi gani?? Cha mama ake ni kile alichochuma na baba yake yaani kama tumechuma pamoja lazima niwepo kwenye documents.

Hayo mambo ya kumpa mama mwisho wa siku mama anaenda mbele za haki mashemeji na mawifi wanikalie rohoni kisa nini??
 
Its true kabsa,hiyo inakuwa ni ubinafsi tu wa mali kwa sababu kama mmejenga pamoja ni ya kwenu wote ata kama jina kwenye hati ni la mwanaume.
Mkuu kuna jamaa jirani yangu Hapa, jamaa kajinyima weee akajenga bonge la mjengo, alipomaliza tu Kila kitu wife wake akalianzisha. Jamaa alipoona Yuko hatarini kudanjishwa, akaona aondoke home apange geto mtaani, akamuachia ule mjengo wife na watoto wake.

Mwaka huu jamaa akaona aombe kustaafu kabla ya muda kwa kuogopa wife anaweza kumtaimu adanjishe mapema. Hizi ndoa hizi acha mkuu.
 
Labda kwa wanawake mnaookota huko barabarani,lakini kwa mwanamke tena mama wa familia mna watoto ni bora mali kuandika majina ya watoto kwa sababu hata likitokea la kutokea mama hawezi watupa watoto lakini inapotokea mali zako umeandika majina ya mama yako kisheria zile mali ni za watoto wote wa mama,ikitokea bahati mbaya ukatangulia kufa ujue watoto wako hawana chochote,
Kila kitu kina faida na hasara cha muhimu ni kuwa makini kwenye swala la kuoa
Sure.
 
mkuu kuna jamaa jilani yangu Hapa ,jamaa kajinyma weee akajenga bonge la mjengo,alipomaliza tu Kila kitu wife wake akalianzisha,jamaa alipoona Yuko hatalini kudanjishwa,akaona aondoke home apange geto mtaani,akamuachia ule mjengo wife na watt wake.mwaka huu jamaa akaona aombe kustaafu kabla ya muda kwa kuogopa wife anaweza kumtaimu adanjishe mapema.hiz ndoa hiz acha mkuu.
Uyo mke atakuwa MPARESTINA😂Ndo tumeambiwa tuishi nao kwa akili,na yeye angejenga nyumba ingine ambayo itakuwa yake ile ingine itabaki ni ya familia!
 
Sijasoma...ila nyumba yenye jina la Mama Ni urithi wa watoto wa huyo Mama...kujenga Wewe alafu ukaandika jina la Mama yako...inamaana umempe

Na akifa mama... watoto wake huyo mama Wana haki ya Kurithi HIYI NYUMBA....

So usitegemee mkeo eti umekufa Mama yako nae akifa atapa kitu na hao watoto wataishi kwa rehema za Ndugu walio baki
Unakuta mwanaume na ndugu zake hawana njaa wala husda za kudhulumiana.
 
kama aliponioa hakua na nyumba tukajaaliwa kujenga amwandike mama yake kwa misingi gani?? cha mama akeni kile alichochuma na baba yake yan kama tumechuma pamoja lazima niwepo kwenye documents

hayo mambo ya kumpa mama mwisho wa sikumama anaenda mbele za haki mashemeji na mawifi wanikalie rohoni kisa nn??
Tukajaliwa kujenga.
 
kuna mwanamke jiran yangu kafanya ivyo ivyo alafu ela anaonga mabodaboda wanamkaza, benk kuja kuchek nyumba ni ya mamake jamaa na kila kitu ni cha mamake jamaa wanapambana na huyo malaya sasaivi na jamaa kampiga chini...
Acha FIX Mkuu, kuna benki gani inayoweza kukopesha mtu kabla ya kujiridhisha kwanza na uhalali wa nyaraka? Unadhani huku ni FACEBOOK kwa watoto wenzako, eti?
 
Back
Top Bottom