Wanaume amkeni acheni kulalama

hahahaaaa CHAGGAZ vipiiii umishabeba mzigoooo au ndo umeushushaa?
ukionahivoo ujue jamaa limeshakuzoea yaani linaishi na wewe kwa mazoea tu. vinginevyoo.................
 
Maneno yote kuntu
 
mkuu lazima niwe mkali tunakoelekea ni kuwa wanawake wote humu duniani
me naona huyu jamaa ulimzoesha mwenyeeew siku za mwanzoni mwa mahabba.. mara umemnunulia jinzi, mara pensi, mara ....yandani, sasa umeshamzoesha inabidi ukubali tu utafenyeje. mara bebi leo nikupeleke FISHMAKETI.... mara...... weeee!!! unaona sasa haya ndo matatizo uliyosababisha mwenyeeew. usilalamike mama endelea kumlea tu. VUMILIA TU
 
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
avune alichopanda sasa
 
kwaniiii... CHAGGA HUYU JAMAA C ULIMCHAGUA MENYEW AUUU ulichaguliwa?
BASS... UKIONA KAMAunapata shida na ulichokichagua ujue ni makosa yako imekula kwako. hii ndo shiddda ya kuchungulia saaaana ili upatie unachokihitaji. matokeo yake unatumbukia ndanimo.
 
We ni shida sisi huku kilimanjaro wapambanaji ukitaka shamba darasa hasa nyie wanaume mlio na tabia hiyo njoo hapa moshi muone wanawake wanavyopiga kaz yaan hadi raha.we mwanaume kwnn usijiongeze umtegemee mwanamke siku akikata mirija lazma utusuliwe papuchi ndogo.
 
avune alichopanda sasa
hahahaaaa sio wewe uvune ulichokiotesha au....??? kwahuyo jamaa yako kamma akiona unamkatia matumizi kwakuwa ulimzoesha mwenyewww basi tegemea kifuatacho. ni KUSEPA KIAINA TU. na hivi hamjahalalishana basi inakuwa kwake c shida kabisaa labda umuwahi sasahivi umfunge pingu asikukimbie.
 
kuna kitu nimegundua. shida hizi unapata ni kwa ajili ya kupenda DOT.COM
na kuwakimbia wakongwe eti wazee hawana msisimko. huo sasa ulioupata ndo msissimko wa DOT.COM
 
Mwanamke malaya utamjua tu

Jua
 
kuna kitu nimegundua. shida hizi unapata ni kwa ajili ya kupenda DOT.COM
na kuwakimbia wakongwe eti wazee hawana msisimko. huo sasa ulioupata ndo msissimko wa DOT.COM
kumbeeee
 
KAMANDA!!!!... Duh!!! umeshusha mzigo mzito saaanaaaa duh!!
hii namba 5 umesema unakinai papuchi yako ndo mana unashinda baa kutafuta kipozeo etieee???
sasa na yeye papuchi wako amekukinai nae anaenda kutafuta kisugulio kipya maana chako kimeshapata sugu hakitelezi inavotakiwa.

cc: miss chagga
 
hivi wanawake wanaitaji nini??
Mara haki sawa 50-50
Mara kufikishwa
Mara kutunzwa na kugharamiwa kila kitu na ukimgharamia bado anachepuka.

Kweli Mungu akukosea alivyowanyima uwezo wa kujielewa.
 
Mke na mume hushirikiana kujengs familia wewe unataka mke akae tu mume afanye kazi. Utakuwa changudoa wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…