google helper
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 9,667
- 13,876
Pole sana, mzee kafungua vipochi manyoya vyote mtaani nn mbona uko kasi sanaaUnakuta mwanaume anafamilia yake anakorofisha na mke wake anakwenda kutafuta mchepuka. Akifika huko na hasira zake anadanganya hajaoa au kaoa lakn hampendi mkewe, anaenda mbali zaidi anasema anampenda huyo mchepuko zaidi na yuko tayari kuachana na mkewe, hapo hajui km anatengeneza Bomu mchepuko anavimba kichwa nakuanza vitibwi kwa mke mwisho wa siku unaongeza matatzo unapata stress unatafuta mchepuko mwingne.
Kaka zangu semeni ukweli kama mnataka ku-Relax mchepuko ajue nafasi yake, mweleze kabisa unampenda mkeo licha ya migogoro mnayopitia ajue majukumu na mipaka yake kama unadate na mwenye akili atakuelewa.
Mmeambiwa muishi na sisi kwa akili. Na Kuna wanawake tumefikia hatua tukanyoosha mikono tumekubali chepukeni lakini hakikisha nafasi yangu inabaki pale pale kama mke na usiache kuwa baba Bora kwa wanao inatosha.
Au kunasababu nyingine inayopelekea mnaseme uongo?
HAYA FUNGUKENI UWANJA NI WENU......
Inabidi hiki kisa kiripotiwe kwenye uzi wa rikiboy wa kimasihara 🤣🤣🤣Kiufupi kaliwa kimasihara😂
Over Over!!Delta 1 this is alpha 1 reporting,female terrorist in sight requests for immediately back up
Kumbe wanawake mlishafikia hatua mmekubali wanaume tuchepuke, sasa huko mbeleni mtakubali tuongeze wake tuu ili kuondoka na usumbufuUnakuta mwanaume anafamilia yake anakorofisha na mke wake anakwenda kutafuta mchepuka. Akifika huko na hasira zake anadanganya hajaoa au kaoa lakn hampendi mkewe, anaenda mbali zaidi anasema anampenda huyo mchepuko zaidi na yuko tayari kuachana na mkewe, hapo hajui km anatengeneza Bomu mchepuko anavimba kichwa nakuanza vitibwi kwa mke mwisho wa siku unaongeza matatzo unapata stress unatafuta mchepuko mwingne.
Kaka zangu semeni ukweli kama mnataka ku-Relax mchepuko ajue nafasi yake, mweleze kabisa unampenda mkeo licha ya migogoro mnayopitia ajue majukumu na mipaka yake kama unadate na mwenye akili atakuelewa.
Mmeambiwa muishi na sisi kwa akili. Na Kuna wanawake tumefikia hatua tukanyoosha mikono tumekubali chepukeni lakini hakikisha nafasi yangu inabaki pale pale kama mke na usiache kuwa baba Bora kwa wanao inatosha.
Au kunasababu nyingine inayopelekea mnaseme uongo?
HAYA FUNGUKENI UWANJA NI WENU......
Kwa hiyo kutombewer mke kupo pale pale 🤣🤣🤣🤣Huyo mchepuka kuna siku na yy atachepukwa. Pole kipenzi
Copy that.. extraction is on the way.. ETA five minutes..Delta 1 this is alpha 1 reporting,female terrorist in sight requests for immediately back up
Bora wewe umetusaidia😂😂😂Dunia hii Kwani sie tunasemaga yote ya kweli 😂😂
😂😂Nimeghairi nawasimanga acheni uongoBora wewe umetusaidia
Kimeumana tayar judith utamkubalije mtu aliyekwambia ukweli?Unakuta mwanaume anafamilia yake anakorofisha na mke wake anakwenda kutafuta mchepuka. Akifika huko na hasira zake anadanganya hajaoa au kaoa lakn hampendi mkewe, anaenda mbali zaidi anasema anampenda huyo mchepuko zaidi na yuko tayari kuachana na mkewe, hapo hajui km anatengeneza Bomu mchepuko anavimba kichwa nakuanza vitibwi kwa mke mwisho wa siku unaongeza matatzo unapata stress unatafuta mchepuko mwingne.
Kaka zangu semeni ukweli kama mnataka ku-Relax mchepuko ajue nafasi yake, mweleze kabisa unampenda mkeo licha ya migogoro mnayopitia ajue majukumu na mipaka yake kama unadate na mwenye akili atakuelewa.
Mmeambiwa muishi na sisi kwa akili. Na Kuna wanawake tumefikia hatua tukanyoosha mikono tumekubali chepukeni lakini hakikisha nafasi yangu inabaki pale pale kama mke na usiache kuwa baba Bora kwa wanao inatosha.
Au kunasababu nyingine inayopelekea mnaseme uongo?
HAYA FUNGUKENI UWANJA NI WENU......
Mkiacha kupenda mtelemko tutaacha uongo.
Ila Tumeacha uongo kuanzia sasa tunaomba kuja sasa PM tukutulize nafsi, tuko single wote tuliochangia humu hivyo chaguzi ni yako😅
UkiKimeumana tayar judith utamkubalije mtu aliyekwambia ukweli?
Hujanielewa nimeongea kwafaida yenu wanaume mfano uko na mke chumbani mchepuko anapiga sim bahat mbaya mke akipokea wote wanaulizana ww nani huoni unajiingiza kwenye tatzo kubwa zaidi kulko ungemwambia mchepuko Nina mke nausipige km sijakutafuta simple tu,Tangia lini Mwanamke akaambiwa ukweli na akaamini!?,mwanamke na ukweli wapi na wapi!?,kama mlishindwa kumuamini mwenyezi Mungu bustani ya Eden ndio ije kuwa sisi!?