Wanaume acheni mara moja hii tabia

Wanaume acheni mara moja hii tabia

Mpaka nimekuja kuandika huku jamani mnakera, tabia hii inakera sana

Eti mtu kisa amekupa ela basi akiridhika yeye ndo basi. Kunipa hela ndo kosa? Unakuja unani donoa donoa juu unaniacha? Kihela chako ndo unitie shombo mimi?

Hela muendelee kutupa na kileleni mtufikishe. Mnakera sana hamjui tu.

Mtu mnapanga vizuri anakupa hela nyingi mpaka unasema yeeeees leo shughuli ipo. Mnafika twaa twaa tayari, kwani ni ghafla bin vuu? Mbona mnajitia aibu?

Mbadilike wajameni, nyie endeleeni kudhani hela ndo kitu pekee tunataka.

Lakini msiache kutupa hela though
Weee koma!Yaani nikununue halafu unipangie namna ya kukutumia?Hiyo haipo.Ukiamua kujigeuza bidhaa ujue utatumika kadri mnunuzi anavyotaka.Nikiridhika Mimi mnunuzi inatosha,wee si utaridhika utakapotumia hela niliyokupa?
 
Kuna zile pisi zinayo hela huwa zinakuja zenyewe hakuna kuulizwa hela ya kujipamba wala nauli mkuu hizi huwa zinaongeza mzuka asee unajikuta unapata extra power yani unakula kumaliza asa hizi za hata sijala tokea jana sijui mara sina hata hamu yani ninavyo waza hela ya kodi daah! Mapka mzuka unashuka pisi ina shida kuliko shida zenyewe wanawake tafuteni hela hela za mwanaume ni za kujenga boma sio kula na marayaaa
 
Wewe ndo chombo cha starehe sisi siyo chombo cha starehe jiheshimu
 
Akili imeenda inawaza pesa utakojowa saa ngapi??
Unawaza akimaliza atakupa sh ngapi?
Hata hisia za kukufikisha kibo zinakukimbia
Naweza kukununulia kitimoto kilo na savannah kumi za baridi mkuu?
 
Nikutumie nauli, hotel nilipie, chakula ule na posho uchukue et na kufikishwa unataka kufikishwa dah
 
Asanteee kwa kutusemea maana hali ni mbayaa jamen[emoji13]tunataka show nzito nzito banaaaa
 
Ukitaka ridhishwa na wewe toa pesa ..huwezi lipwa na urdhishwe
Mpaka nimekuja kuandika huku jamani mnakera, tabia hii inakera sana

Eti mtu kisa amekupa ela basi akiridhika yeye ndo basi. Kunipa hela ndo kosa? Unakuja unani donoa donoa juu unaniacha? Kihela chako ndo unitie shombo mimi?

Hela muendelee kutupa na kileleni mtufikishe. Mnakera sana hamjui tu.

Mtu mnapanga vizuri anakupa hela nyingi mpaka unasema yeeeees leo shughuli ipo. Mnafika twaa twaa tayari, kwani ni ghafla bin vuu? Mbona mnajitia aibu?

Mbadilike wajameni, nyie endeleeni kudhani hela ndo kitu pekee tunataka.

Lakini msiache kutupa hela though
 
Mpaka nimekuja kuandika huku jamani mnakera, tabia hii inakera sana

Eti mtu kisa amekupa ela basi akiridhika yeye ndo basi. Kunipa hela ndo kosa? Unakuja unani donoa donoa juu unaniacha? Kihela chako ndo unitie shombo mimi?

Hela muendelee kutupa na kileleni mtufikishe. Mnakera sana hamjui tu.

Mtu mnapanga vizuri anakupa hela nyingi mpaka unasema yeeeees leo shughuli ipo. Mnafika twaa twaa tayari, kwani ni ghafla bin vuu? Mbona mnajitia aibu?

Mbadilike wajameni, nyie endeleeni kudhani hela ndo kitu pekee tunataka.

Lakini msiache kutupa hela though
Njoo MP....
 
Nikishakupa hela, inabidi uje ukiwa umejiandaa, usitegemee kuandaliwa.
Ha ha ha a......
images-512.jpg
 
Mpaka nimekuja kuandika huku jamani mnakera, tabia hii inakera sana

Eti mtu kisa amekupa ela basi akiridhika yeye ndo basi. Kunipa hela ndo kosa? Unakuja unani donoa donoa juu unaniacha? Kihela chako ndo unitie shombo mimi?

Hela muendelee kutupa na kileleni mtufikishe. Mnakera sana hamjui tu.

Mtu mnapanga vizuri anakupa hela nyingi mpaka unasema yeeeees leo shughuli ipo. Mnafika twaa twaa tayari, kwani ni ghafla bin vuu? Mbona mnajitia aibu?

Mbadilike wajameni, nyie endeleeni kudhani hela ndo kitu pekee tunataka.

Lakini msiache kutupa hela though
Tunachokijua:................................................![emoji12]
 
This is like slinging dope to them fiends and expect fresh notes. Also, been around a while to know if that cookie good, brothers will get at it with everything they got, so maybe don't be too quick to judge them.
 
Ukija hakikisha umeshajikojolea tayari. MI nahitaji shimo tu na utelezi ndo maana nimekupa hela. Sijakuopa pesa ili nilupandishe milima
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom