Wanaume acheni mara moja hii tabia

Wanaume acheni mara moja hii tabia

Mpaka nimekuja kuandika huku jamani mnakera, tabia hii inakera sana

Eti mtu kisa amekupa ela basi akiridhika yeye ndo basi. Kunipa hela ndo kosa? Unakuja unani donoa donoa juu unaniacha? Kihela chako ndo unitie shombo mimi?

Hela muendelee kutupa na kileleni mtufikishe. Mnakera sana hamjui tu.

Mtu mnapanga vizuri anakupa hela nyingi mpaka unasema yeeeees leo shughuli ipo. Mnafika twaa twaa tayari, kwani ni ghafla bin vuu? Mbona mnajitia aibu?

Mbadilike wajameni, nyie endeleeni kudhani hela ndo kitu pekee tunataka.

Lakini msiache kutupa hela though
bahati mbaya watanguliza pesa wote hawana lolote....chagua unachotaka. pesa usifikishwe kileleni au kutopata pesa ufikishwe
 
bora hata huyo anakupa hela utajipoza, me nikigundua we ni bidhaa sikupi hata mia na sikufikishi uendapo. nikifika niendapo napaki nakuambia ushuke uende uendapo.

Huwezi unanitia janaba alafu nikuoneshe care.
 
Mpaka nimekuja kuandika huku jamani mnakera, tabia hii inakera sana

Eti mtu kisa amekupa ela basi akiridhika yeye ndo basi. Kunipa hela ndo kosa? Unakuja unani donoa donoa juu unaniacha? Kihela chako ndo unitie shombo mimi?

Hela muendelee kutupa na kileleni mtufikishe. Mnakera sana hamjui tu.

Mtu mnapanga vizuri anakupa hela nyingi mpaka unasema yeeeees leo shughuli ipo. Mnafika twaa twaa tayari, kwani ni ghafla bin vuu? Mbona mnajitia aibu?

Mbadilike wajameni, nyie endeleeni kudhani hela ndo kitu pekee tunataka.

Lakini msiache kutupa hela though
Wee fala SI wa kiume wewe, afu unajufanya Dem, ngoja ukamuliwe shaur zako
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom