Mwambie, Carlos nipoo ,shooo zangu za Saa nzima ndo nakojoa🤣🤣Carlos The Jackal unaitwa huku
Kwa kweli hajakutendea hakiMpaka nimekuja kuandika huku jamani mnakera, tabia hii inakera sana
Eti mtu kisa amekupa ela basi akiridhika yeye ndo basi. Kunipa hela ndo kosa? Unakuja unani donoa donoa juu unaniacha? Kihela chako ndo unitie shombo mimi?
Hela muendelee kutupa na kileleni mtufikishe. Mnakera sana hamjui tu.
Mtu mnapanga vizuri anakupa hela nyingi mpaka unasema yeeeees leo shughuli ipo. Mnafika twaa twaa tayari, kwani ni ghafla bin vuu? Mbona mnajitia aibu?
Mbadilike wajameni, nyie endeleeni kudhani hela ndo kitu pekee tunataka.
Lakini msiache kutupa hela though
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimechekaaaa km chiziiii.Akili imeenda inawaza pesa utakojowa saa ngapi??
Unawaza akimaliza atakupa sh ngapi?
Hata hisia za kukufikisha kibo zinakukimbia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mmeanzaaaaSiku hizi Spika ndio inataka kufurahishwa na msikilizaji [emoji1787]
Sasa kama ukeni kumeota sugu tutawafikishaje kileleni?Mpaka nimekuja kuandika huku jamani mnakera, tabia hii inakera sana
Eti mtu kisa amekupa ela basi akiridhika yeye ndo basi. Kunipa hela ndo kosa? Unakuja unani donoa donoa juu unaniacha? Kihela chako ndo unitie shombo mimi?
Hela muendelee kutupa na kileleni mtufikishe. Mnakera sana hamjui tu.
Mtu mnapanga vizuri anakupa hela nyingi mpaka unasema yeeeees leo shughuli ipo. Mnafika twaa twaa tayari, kwani ni ghafla bin vuu? Mbona mnajitia aibu?
Mbadilike wajameni, nyie endeleeni kudhani hela ndo kitu pekee tunataka.
Lakini msiache kutupa hela though
Boda boda hawa hawa wanaomaliza Viagra pale pharmacy kwa Dada yangu flani [emoji848]Tafuta vijana kama vile bodaboda watakukuna hadi uombe pooo. Ila kwa watu wazima wenye mambo yao lengo lao wala siyo kukupa faraja wewe, ni sawa tu na mtu aliyejinywea pombe zake ili apate kufurahisha nafsi yake binafsi. Ukitaka wa kukuna kisawasawa, watoa hela lengo lao ni hit and run, hawana haja kukufurahisha wewe
Hapo kwenye kuchapiwa ndipo utapotujua vizuri Me wa siku hizi tulivyo vilalamishi ilihali sisi wenyewe ndiyo chanzo kikuu cha Ke kuchepuka [emoji849][emoji2960]Uzi umejaa mapovu,tuvijana twa hovyo hatutaki kuambiwa ukweli,tukichapiwa tunaanza kukalamika