Wanaume acheni kuwa 'Marioo'

Hahaha sasa huwezi amini mimi ndo ninae luba huyo kesha zoeshwa viji hela hela basi ndo anakua luba kweli kweli...yani full kung'ang'aniwa hapa,,kama nilivyosema ukirudi kwenye utimamu utazoea kumpa hela huyo marioo wakoo maana hauna namna...utapata shida sana
 
Yeaah sure ..fighter alafu mrembo ...mmmhhhh maybe uku.kwa kada zetu, ndo unakuta mchaga mchaga kwelikweli amechanganya naguu lakihaya na kalio la kihaya
Jaman mie mbaya sijakataa
Point is I work hard to find my money
Na sihitaj marioo
Wakijileta me huyu tuna piga game mbili,tena kwa tarehe nitakazo panga mie then nakudamp

Sent using Jamii Forums mobile app
 


Wanawake wahongaji wako wengi sana sema tu wewe hauna pesa za kuhonga mwanamme. Tuachie tuhongwe na wenzako.
 
Jaman mie mbaya sijakataa
Point is I work hard to find my money
Na sihitaj marioo
Wakijileta me huyu tuna piga game mbili,tena kwa tarehe nitakazo panga mie then nakudamp

Sent using Jamii Forums mobile app
Noo hatujamanisha kua wee ni mbaya ,bali nikatika kujiuliza kwann ikutokee wewe ivo ...
Sa ikiwa we ni mwanamke unayejiamin na mzuri , kwann leo umwambie. Kesho arudie ,alafu naww unampa???unamdekeza??

Huon wee ndo unafanya ajione kama mtoto..kama nikupiga game ,unamwambia tu hapa ni mapenzi lkn sio kunipiga hela.

Maana yake, wanaume wanakufata sababu upo na uchumi wako binafsi lkn sio wewe kaa wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…