Wanaume acheni kuwa 'Marioo'

Aaahh huyo ni mwanaume chuma ulete ,mpende mitelemko , K upewe bure alafu bado uhudumiwe kama mtoto mchanga daahhh balaaaa ilo .

Uliwah mwambia???
 
Ndio,anabadilika siku 2,siku ya tatu anakuja kwambia nitafutie laki 2 nina shida nayo
Sasa huyu mwanaume kweli?

Sent using Jamii Forums mobile app
Aaahhh sawa, itakua anajua una madhaifu kiasi fulan ndo maana akawa ivo alafu anajua wee kwake umeoza umekufaa, so anachofanya ni.kukugegeda vzuri vzuri ili in returns uogope kumkosa nabaada ya hapo utalubaliana na Mizinga yake.
 
Whaaaat! Anunue Gari? Nacheka kisweden[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji382]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aaah this is too much! Mi na vibao ningemnasa asee!

Hukuchunguza sio bwabwa hiloo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji121]
NIMEKUSIKIA!

NITAACHA KUKUOMBA HELA.

KUNA LINGINE??
[emoji377] [emoji124] [emoji469] [emoji469] [emoji469] [emoji469] [emoji469] [emoji469] [emoji469] [emoji469]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi wanawake gani hawa wanaowapa pesa wanaume hahaha.

Hawa hawa ninaowajua. Sijawahi kuona mwanamke asieumwa na pesa yake. hata akikuambia kuna shida hii na anapesa yake ukamwambia lipa nipo busy nitakurefund ataanza kujiuliza uliza.
 
Kwa hiyo mkuu mwanaume akiwa mtu wa meseji meseji ujue mario! Basi nitakuwa na vinasaba vya kimario.

Hili ni tatizo langu Nitapiga simu kwa ishu serious zingine zote meseji... Unaweza kuwa rafiki yangu mwaka mzima sijawahi kukupigia simu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…