Wanaume acheni kuwa 'Marioo'


Hakuna mwanaume mariooo, kitu kilichopo ni kuwa ww unakuwa unampenda huyo mwanaume zaidi ya yy anavyokupenda ndio maana unatumia nguvu kubwa kumfanya yy awe wako

Na ndio maana unampa pesa na kumgalamia kila kitu yy kazi yake inakiwa ni moja tu kukupa show
 
Yupo,kanitongoza mwenyewe na lengo lilikuwa kupata kitonga
Kila siku anakulilia shida
Wanaume mnareact,mkihisi nimekuja kuwadhalilisha,nope
Wapo wanaume wanaotongoza wanawake kwaajil ya kupata kitonga cha maisha,
Hao ndio wanawadhalilisha
Wabadilike
Wanawake wengi wanalalamika kuwa wanaume wamegeuka marioo
Mkiwa wenyewe wanaume kwa wanaume wanapretend kuhudumia ama kujihudumia kuficha aibu
Wanawake ndio tunaujua huu ukwel
Na tunawaomba wabadilike

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu unamvalisha mtu... Unamlisha... Unampa pakulala... Na hela ya matumizi unampa ...duuuhh aiseee uko njema.

Sasa haya yote kama unayafanya kwa moyo wako then stop bad mouthing your Ex to others ... Usikute nayeye anasema nimepata "Lisugar dada linaniweka town".
 
Alikuwa anafoc
Yani kama ni nguo imepita akaipenda,anakwambia ninunulie hiyo,kwa kufoc
Akiona umetumia kahela kwenye simu akajua anakwambia twende tukaitoe tutoke wikend,akifika kwa wakala anataja hadi kiasi chote kabla hujasema unatoa shilingi ngapi
Alikariri hadi pasword za simu yangu,nilipogundua nikazibadili fasta
Kwani nilimwuliza mbona simu yako hujanipa password ila yangu unataka uyajue? Especially yanayohusu pesa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Michepuko isiyo misumbufu ya aina hii ndo naipendaga sana, aloo siku ukiwachoka sana niPM.
 
Sasa unaendelea nae wa nini? Do u tink he 'll change?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inaonekana ana mihela huyo dada!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa huyo hata K ulimpa ya nini? Haikuumi? Haaahaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama hujakutana na wakuhudumia aisee karibu nipo free ila ulithathmini kwanza isiwe ndo ile bao la sita unaanza lalamika umechoka!!! If u are ready mostly welcome!!!!


Sent using Jamii Forums mobile app
 
 
Hahaaahaaa eti lihamie kwako! Duuh huyo akaolewe!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…